Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,651
- 34,429
Kwa Gavana mwanasheria siyo makini ila Banker ni makini ?Mimi ni mwananchi mwenye uhuru wa kutoa mawazo yangu kama nadhani yanaweza kusaidia nchi yangu!! FEDHA zinapoibiwa BOT kwa kukosa uongozi makini hatuna buda kupiga kelele kwani itatuumiza sisi kwa kutozwa kodi kubwa kufidia pengo linaloletwa na upotevu wa fedha hizo!
Unanipotezea muda kufikiri mambo mengine ya msingi mkuu.