Ikulu kuna viti vya plastiki?

Ikulu kuna viti vya plastiki?

KASOME QUALIFICATIONS ZA MTU ANAYESTAHILI KUTEULIWA KUWA GAVANA WA BOT!! LUOGA ANAZO? QUALIFICATION ILYOMPA KUWA GAVANA NI REPORT YA MAKINIKIA AMBAYO JIWE ILIMFURAHISHA INGAWA MATOKEO YAKE YAMEFICHWA NA HAYAJAWEKWA WAZI!!!
Hujui kitu mkuu ,

Kama ulisoma hukuelewa tafuta mtu akueleweshe.
Uanasheria ni marginal qualification na ndio maana iko mwisho kwenye act!!!
Nani kakuambia kua hiyo orodha ni kwa umuhimu wake??
 
Itakuwa vilinunuliwa na ngusa samike kipindi kile Cha hayati mwendazake
 
sio ikulu hapo, ni nyumbani kwa Samia, hata Mwinyi alikuwa hapo juzi
Nadhani Ikulu bado wanaweka sawa na ofisi ya Rais haijakamilika ila nadhani itakuwa inakaribia. Ningepewa kazi ya kutengeneza Ikulu ingekuwa hatari nadhani kateuwa mtu tayari jana kazi yake hiyo ila lazima tuwe na kitu unique hii ndio taswira ya nchi lazima iwe quality ila naamini wanamalizia karibu.
 
Hujui kitu mkuu ,

Kama ulisoma hukuelewa tafuta mtu akueleweshe.
Nani kakuambia kua hiyo orodha ni kwa umuhimu wake??
Commonsense and precedence! Do you know the responsibilities of Central Bank Governor?
 
Nadhani wewe ndio mwenye matatizo kwasababu unakataa kuanisha majukumu ya BOT na mtu anayetakiwa kuiongozi!! Unajua responsibilities za gavana wa BOT?
Sijui responsibility ila najua qualifications zake kwa mujibu wa sheria
 
Sijui responsibility ila najua qualifications zake kwa mujibu wa sheria

Nenda kasome majukumu ya Benki kuu halafu uone mtu wa discipline gani ni ideal to lead it efficiently!
 
Nenda kasome majukumu ya Benki kuu halafu uone mtu wa discipline gani ni ideal to lead it efficiently!
Gavana anateuliwa kwa mujibu wa sheria siyo kwa utashi wako binafsi.

Mimi najua sheria inasemaje juu ya uteuzi wa Gavana and am happy with that.
 
Unataka kusema Luoga hana sifa za kuwa Gavana wa BOT ?

He has marginal qualifications hence not the best that the country could have to steer the economy to prosperity.
 
He has marginal qualifications hence not the best that the country could have to steer the economy to prosperity.
Benki siyo kibubu inaongozwa kwa mujibu wa sheria kama unataka iongozwe kwa utashi wako binafsi anzisha kibubu hapo nyumbani kwako ukiite benki kuu kisha uteue Gavana kwa utashi wako binafsi.
 
Mimi najua sheria inasemaje juu ya uteuzi wa Gavana and am happy with that

Aliteuliwa kama zawadi baada ya mazungumzo yaliyohusu MAKINIKIA, mwendazake alidhani amewashinda BARRICK na kuwaahidi wananchi kuwa baada ya yale mazungumzo na kutimiza makubaliano wananchi wote wangepata NOAH moja moja!!! Mpaka hivi leo yale makubaliano na BARRICK yamefichwa na KABUDI nae hazungumzi kitu chochote juu ya implementation ya yale makubaliano!!! TUMEPIGWA TENA!

Athari za kuwa na GAVANA mwenyewe marginal qualifications ni kwamba he can easily be duped na mafisadi na fedha zikatolewa benki kuu bila utaratibu !!! NCHI IKAIBIWA KWA KUKOSA UMAKINI.
 
Aliteuliwa kama zawadi baada ya mazungumzo yaliyohusu MAKINIKIA, mwendazake alidhani amewashinda BARRICK na kuwaahidi mwananchi kuwa baada ya yale mazungumzo na kutimiza makubaliano wananchi wote wangepata NOAH moja moja!!! Mpaka hivi leo yale makubaliano na BARRICK yamefichwa na KABUDI nae hazungumzi kitu chochote juu ya implementation ya yale makubaliano!!! TUMEPIGWA TENA!

Athari za kuwa na GAVANA mwenyewe marginal qualifications ni kwamba he can easily be duped na mafisadi na fedha zikatolewa benki kuu bila utaratibu !!! NCHI IKAIBIWA KWA KUKOSA UMAKINI.
Marginal qualifications ndiyo zipi hizo ?
 
Benki siyo kibubu inaongozwa kwa mujibu wa sheria kama unataka iongozwe kwa utashi wako binafsi anzisha kibubu hapo nyumbani kwako ukiite benki kuu kisha uteue Gavana kwa utashi wako binafsi.

Mimi ni mwananchi mwenye uhuru wa kutoa mawazo yangu kama nadhani yanaweza kusaidia nchi yangu!! FEDHA zinapoibiwa BOT kwa kukosa uongozi makini hatuna buda kupiga kelele kwani itatuumiza sisi kwa kutozwa kodi kubwa kufidia pengo linaloletwa na upotevu wa fedha hizo!
 
Back
Top Bottom