ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,372
- 4,139
Punguzeni Kuzoza Wandugu.., hiyo ni Ofisi ya Zamani ya PM Dodoma, ambayo ndio anaitumia Mama kwa Muda akisubiri mambo kadha wa kadha yakamilike kwa ajili ya kuhamia kwenye Ofisi zake rasmi..,
Kama umewahi kufika Dodoma hapo ni pale junction ya barabara ya mahakamani, railway na Duwasa pale nyuma ya Dodoma hotel. Ni ofisi ya waziri mkuu ya zamani kabla serikali haijaamua kuhamia rasmi Dom. Ni majengo ya mkoloni kabisa yote.Nimeshangaa tu! Mara paap mguu wa kiti umevunjika mama akiwa Amekikalia, nawashauri waondoe hivyo viti ikulu ni aibu kwa ofisi namba moja kuwa na kiti cha plastiki.View attachment 1753907
Nafikiri mama anapatumia hapo kwa muda akisubiri ikulu ya chamwino kukamilika.