Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,045
Kwenye huu uzi Wanyonge wanatete unyonge wao
Acha ushamba we dogo, nchi maskini imejaa mbao kibao maporini magereza wapo wanauwezo wa kuchonga na kuzalisha viti kibao.Msipende wala kutukuza anasa kwa viongozi wenu. Sisi bado ni nchi maskini kabisa na mamilioni ya wananchi hawana maji safi, barabara na vituo vya afya.
Watu wanasahau ikulu haijaisha bado
Magogoni tunaweka Masjid yetu tuliaArudi magogoni.
Nani amekwambia nchi hii NI masikini?
ULITAKA WAWEKE MILANGOI YA ULAYA TUSITUMIE MITI YETU YA MBAO?Hata hiyo milango ya kienyeji mno.
Ulitaka yaonekane foreign? kwani hapa ni foreign country?Mazingira yote yanaonekana ni local
Wangari Maathai uje..Kiti hicho alikua anakalia mganga wa meko
Hapo itakuwa Zenji nyumbani kwa maza.Nimeshangaa tu! Mara paap mguu wa kiti umevunjika mama akiwa Amekikalia, nawashauri waondoe hivyo viti ikulu ni aibu kwa ofisi namba moja kuwa na kiti cha plastiki.View attachment 1753907
Hata hiyo milango ya kienyeji mno.
Mazingira yote yanaonekana ni local
Sasa mnaponda nini hapo?wabongo hua hamuelewekiHii ni ikulu ya wapi?
Dodoma, Zenji, najua hayo mandhari sio Magogoni...
Hiyo ni ofisi namba moja bwashee kwani ikiwa na nakshi nzuri kuna shida gani? Wakati ripoti za CAG zinaonyesha watu wanakwapua mapesa kwenda kujengea mahekalu yao.ULITAKA WAWEKE MILANGOI YA ULAYA TUSITUMIE MITI YETU YA MBAO?
Hata Mimi nashangaa, hopefully anatoa maelekezo arudi dar na tatatibu za ofisi ziendelee!! Hakuna haja Serekali kujiendesha katika hali ya dharuraKwanini asingebaki Dar es Salaam?.
Huko Dodoma kumezindikwa au nini?.
Hii itakuwa ikulu ya Dodoma, imejengwa kama nyumba ya kawaida kabisa!! Kuna picha niliona mama Samia akiwa ofisini, sikupenda madirisha, yapo na manondo meupe kama hayo hapo mlangoni!!Hata hiyo milango ya kienyeji mno.
Lazima tuhoji CAG katufumbua macho,utakuta hicho kiti hapo kwenye manunuzi ni zaidi ya 100000\=.Bavicha badala ya kuhoji mambo ya maana ikiwemo tume huru wao wanahoji viti vya ikulu?
Mnafikiri 2025 ni mbali?
AiseeeAcha ushamba we dogo, nchi maskini imejaa mbao kibao maporini magereza wapo wanauwezo wa kuchonga na kuzalisha viti kibao.
Acha mama aendelee atatulea tume huru ya uchaguzi na katiba Mpya.Waache usiwasalishe mara papu uchaguzi huu hap
Kwani tume huru ya uchaguzi ni hitaji la BAVICHA pekee yao ?Bavicha badala ya kuhoji mambo ya maana ikiwemo tume huru wao wanahoji viti vya ikulu?
Mnafikiri 2025 ni mbali?
Unataka kusema Luoga hana sifa za kuwa Gavana wa BOT ?KASOME QUALIFICATIONS ZA MTU ANAYESTAHILI KUTEULIWA KUWA GAVANA WA BOT!! LUOGA ANAZO? QUALIFICATION ILYOMPA KUWA GAVANA NI REPORT YA MAKINIKIA AMBAYO JIWE ILIMFURAHISHA INGAWA MATOKEO YAKE YAMEFICHWA NA HAYAJAWEKWA WAZI!!!
Una matatizo weweUanasheria ni marginal qualification na ndio maana iko mwisho kwenye act!!!