Ikulu: Hatuhusiki na kumteka Dr. Olimboka

Kwa vyovyote vile Dr. Ulimboka lazima angesema neno analofikiri litaufurahisha umma kwa vile wengi walikuwa wanasubiri tamko lake. Siyo sahihi kwa kila atakalotamka Dr. Ulimboka ichukuliwe kuwa ni kweli kwa kuwa hakuna upande wa pili wa kudhibitisha hilo. Yawezekana kabisa kuna jambo binafsi ambalo analificha lililosababisha madhila yaliyomkuta na endapo ikiwekwa bayana itakuwa ni aibu kwa Familia yake kwa vile mambo alokuwa anayafanya mida ya usiku ule kabla ya kukutwa na tukio yalikuwa sio staha kwa mtu anayeheshimika kama Dr. Kwa ufupi haiingii akilini kuihusisha IKULU na masuala binafsi ya Dr. Ulimboka, PERIOD
 
Back
Top Bottom