Mtu mdogo sana tume ya uchunguzi ya nini aache upuuzi wake aongeze gharama kwa umuhimu gani aliokuwa nao bora angekufa kabisa tumalize upuuzi wake wa kuchochea watu kugoma au akatwe ulimi kabisa sio vidole tena
Haki haina udogo wala ukubwa kijana Awadhi...Huoni umuhimu wa tume kwakuwa si damu yako iliyoteseka na kumwagika. Na huna roho ya utaifa na upendo. Nataka utambue kuwa Ulimboka ana umuhimu mkubwa sana nchi hii..siku mkeo ama famaily yako itapokuta CT scanner na matibabu pale muhimbili na kwingineko, utatambua umuhimu wake..Acha kebehi na dharau na mawazo magando ya kichama ama kidini..kuwa mzalendo wa kweli.
Siri ilishafichuka toka zamani. Mbona taarifa za mwanahalisi hazikukanushwa!
Kama Ikulu haijahusika ituambie nani kahusika. Hatutaki ubabaishaji na kauli hafifu zisizo na kichwa wala miguu.
Huyo ulimboka katekwa na wahuni wenzake anataka kujikosha mbele ya umma hana loloye kweli ikulu I deal na mtu mpenda hela kama ulimboka shame on him
Ukweli utabaki kuwa ukweli ikulu haihusiki kwani huyo ulimboka ana kipizaidi cha kuifanya ikulu imteke great thinker always think big
Kama Ikulu haijahusika ituambie nani kahusika. Hatutaki ubabaishaji na kauli hafifu zisizo na kichwa wala miguu.
Kuthink big ndiyo kukoje?Katibu mkuu wa wizara ametemwa kazi,mganga mkuu amefukuzwa kazi,mawaziri wawili out,madaktari wamefukuzwa kazi,yote haya ni kwa sababu ya ulimboka,kwanini na wao wasilipize kisasi?think big
Mtu mdogo sana tume ya uchunguzi ya nini aache upuuzi wake aongeze gharama kwa umuhimu gani aliokuwa nao bora angekufa kabisa tumalize upuuzi wake wa kuchochea watu kugoma au akatwe ulimi kabisa sio vidole tena
Jana ikulu ya Jk imewaanfikia vyombo vya habari kukanusha kwa mara nyingine kutekwa na kuteswa kwa Dr. Olimboka na kusema kuwa sio kazi ya Ikulu kuteka watu na Kuuwa.
Hoja binafsi na ya Dr. Olimboka!
Kama ikulu haihusiki kwa nini wanakataaa kuunda tume huru ya uchunguzi? Na mbona kesi imesimamaa na muuwaji hajasikika tena?