Hazijapotea.Si umemsikia waziri wa fedha,kasema, fedha za kodi hizo zimenunua ndege (Leo si umesikia Atcl imejaa),flyover nk.Pitia ripoti ya Conroller and Auditor General (CAG 2017/2018) Utaelewa tu.Amini hivyo yaisheJiwe anawaambia wafanyabiashara wafanye shughuli zao kwa uwazi na uadilifu wakati yeye mwenyewe sio muadilifu serikali yake imepoteza Trilioni kadhaa bila kujulikana zimefanyiwa nini
Ni mawazo yako mkuuMtu akishakuwa verified user lazima aandike rubbish! short of that atafuatwa!
Mtu wa kulaumiwa ni Kikwete kwa kutuletea mrithi asiye na sifa za urais ili akumbukwe yeye kama shujaa na kuficha historia ya udhaifu wake
Mkuu kuna kodi zinatozwa na serikali za mitaa hapa ndo shida inaanzia...pia wingi wa mamlaka TFDA, BRELA, TBS na wengineo na tozo si rasmi....
Kazi ya urais ngumu
Hakika mkuu, wanaume wa siku hizi ni shida, walio takiwa wajipendekeze ni wanawake.. Sasa napata ukakasi wa hawa wanaume wa kileoNina mdogo wangu aliona kwenye simu ya mchumba wake jinsi anavyoongea ujinga kwenye group la whatsap,binti kaaamua kumtupa jamaa,amesema katu hawezi kuolewa na mwanaume anayejipendekeza kwa mwanaume mwenzake kwani huenda hata siku akawa mwanamke mwenzake kwa kuendekeza tumbo.
Usipende kuulizauliza "mamswali"Wilaya ziko jumla ngapi?
Clip tafadhali.Wale wenye materabaiti mengi kichwani...
Acha ramli chonganishi, wewe ni mbeyaThis is not only failure; but rather this is collapse of economy.
Poor Tanzania.
Si mawazo yake tu bali huo ndio ukweli. Hakuna wanaondika mambo ya hovyo, ya uongo na yasiyo na uhalisia kama verified users ndani ya JF. Yawezekana verified users wenye uthubutu wapo lakini ni asilimia ndogo sana kwani wengi ni wanafiki na hawana ujasiri wowote wa kuthubutu kuita koleo kwa jina lake...cheusi wataita cheupe, chungu watadai tamu, udikteta wataita demokrasia, yaani lengo lao kubwa ni kuonekana na hivyo wasisahaulike katika himaya tukufu.Ni mawazo yako mkuu
Kumbe ndo maana majaliwa alikua anasita kumtaja😂😂😂😂😂😂
hakuna mtu anaependa kulipa kodi duniani , hivyo hayo malalamiko lazima yawe mengi.Nimeshindwa kuelewa, reaction ya Mh Raisi kwa makosa ya Kichere ni tofauti na wengine!
Alieambiwa kushushwa cheo ni wa kituo cha kariakoo .Kamishana wakodii za ndani ameambiwa akamshushe cheo aliyekuwa manager wa tra ilala mwaka 2017 sasa ukistajabu ya mussa utaona ya firauni,kamishana wa ilala mwaka 2017 alikuwa yeye mwenyewe