Ni leo tarehe 06/12/2018 . Bosi huyo wa Zamani wa TISS na swahiba mkubwa wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mgombea Urais 2015 aliyeviwakilisha Vyama vinavyounda Umoja wa UKAWA, EDWARD Ngoyaye Lowassa, apongeza Miradi mikubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya tano. Apson ametoa wito kwa Wananchi kuipa ushirikiano Serikali ya JPM.