Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
IMG-20181206-WA0097.jpg

Ni leo tarehe 06/12/2018 . Bosi huyo wa Zamani wa TISS na swahiba mkubwa wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mgombea Urais 2015 aliyeviwakilisha Vyama vinavyounda Umoja wa UKAWA, EDWARD Ngoyaye Lowassa, apongeza Miradi mikubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya tano. Apson ametoa wito kwa Wananchi kuipa ushirikiano Serikali ya JPM.

1.jpeg
 
Jiwe akutana na mbowe Ikulu jijini dar es salaam, mh jiwe amempongeza mbowe kwa kuwa mvumilivu na majanga yaliyotokea hata wakati wa kukaa gerezani.

Mh jiwe amemuhakikishia mbowe kuwa ya zamani si ndwele tugange yajayo na atampa ushirikiano wote kuhakikisha chadema kinakua chamankikuu cha upinzani
 
Mwaka huu lazima mchanganyikiwe JPM siyo wa kispoti
 
Kama nawaona bavicha/ufipa walivyokonda.

By the way imebidi nimuombee na kumfunika kwa Damu ya Yesu Rais wangu maana kuna watu baadhi anaokutana nao siwaamini sana:D ila kwa maombi hawamuwezi
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom