Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

Ni leo tarehe 06/12/2018 . Bosi huyo wa Zamani na swahiba mkubwa wa Lowassa apongeza Miradi mikubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya tano. Abson ametoa wito kwa Wananchi kuipa ushirikiano Serikali ya JPM

View attachment 958041
Na wakati huo huo, Mkurugenzi Mkuu wa sasa wa Idara ya Usalama wa Taifa, Dkt Modestus Kipilimba.... Let me wait for the wrong news first
 
Nani kamwambia watu hawampi ushirikiano? Je na yeye anatoa ushirikiano kwa wenzake? Tuanzie hapo kwanza.
Ushirikiano ni mdogo! Leo nilikuwa na Mwananchi mmoja wa Mtwara maeneo fulani nikaanza kumuuliza juu zao la korosho na mchakato unaoendelea! Niliyoyasikia yanasikitisha kwakweli! ile ngazi yake ya 3 toka alipo kumbe nae ni mfanya biashara wa korosho..! tena ana zaidi 70% ya korosho za Mkoa wake tena kanunua kwa njia za haramu!
 
Noma kweli mkuu,ngoma nzito,ndio kwao huko huyo lazima afanye hiyo biashara.
 
Watu wenye uelewa wa ushabiki tayari mmeshindwa kuelewa mantiki ya press release hii. Kitendo cha main point kuwa ni kushukuru kukubali kumuona tayari hiyo ni propaganda kama ile ya Lowassa ambaye kamwita mwenyewe kasha wanageuza eti kaomba kuonana.
Awamu hii propaganda za kitoto nyingi mno
Kwani kuna dhambi gani kama Apson aliomba aonane na Mh Rais? Makonda mwenyewe pale siku wanafungua Tazara alishawahi kusema nimeomba kukutana na ww kwa njia ya barua lakini sijajibiwa mpaka sasa na yupo kwenye system huyo.
 
Ushirikiano ni mdogo! Leo nilikuwa na Mwananchi mmoja wa Mtwara maeneo fulani nikaanza kumuuliza juu zao la korosho na mchakato unaoendelea! Niliyoyasikia yanasikitisha kwakweli! ile ngazi yake ya 3 toka alipo kumbe nae ni mfanya biashara wa korosho..! tena ana zaidi 70% ya korosho za Mkoa wake tena kanunua kwa njia za haramu!
Nafikiri badala ya kuwapiga shangazi zake kwa rungu kaamua aipore kibabe! Tuombe majaliwa yajayo yawe na kheri maana mashangazi hawatamuelewa kasim ili hali naye kazuiliwa kuwaleta wachina.
 
Mlioko jikoni, kuna kapicha hapa sikaelewi elewi.
Kunani?
Mambo ya kiitifaki tu wala usiogope mbona aliwahi kuwaalika viongozi wastafu wote pale wakina Sumaye, Lowasa, Jk, Mkapa na Mzee Mwinyi wakaongea wakatoa yakwao mambo yakapita! labda mi nimpongeze kwa namna yake kajitahidii kuchota mawazo ya viongozi wenzake kuliko wenzie lakini suala la kufanyia kazi kile anacho ambiwa inategemea kama atakiona kizuri kwa nchi atakifanyia kazi kama kibaya basi atakipotezea tu.
 
Back
Top Bottom