Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

Hapa ndipo unazidi kuonyesha ''weledi'' wako
1. Ikulu ni ofisi ya umma ambayo pia ni makazi ya Rais. Wageni wanaokwenda wapo katika makundi mengi (i) Binafsi kwa masuala binafsi (ii) Kiofisi kama ofisi ya umma

2. Wageni binafsi wanaweza kwenda kwa masilahi ya umma 'public interest'.

Kwa mfano, wananchi wasio maafisa wa umma wanaotaka kuonana na uongozi kwa suala la korosho. Hawa si maafisa wa umma au hata mashirika, lakini uwepo wao una masilahi ya umma 'public interest'

Endapo ziara ilikuwa binafsi idara ya mawasiliano isingetumika kutoa taarifa.
Kitendo cha kutoa taarifa kinaukaribisha umma kuelewa ugeni na wenyeji

Hadi hapo utaona kuna ''public interest'' iwe kwa jema au vinginevyo! barua inaeleza
 
Hiyo taarifa ya ikulu ina ukakasi ukiomba kuonana Na Raisi wakati wewe sio public officer hiyo ni private appointment .Ikulu haiwezi geuza private appointment kama public appointment Na kuitolea press release.No.
 


Joining foces
 

Umejitahidi
 
Hiyo taarifa ya ikulu ina ukakasi ukiomba kuonana Na Raisi wakati wewe sio public officer hiyo ni private appointment .Ikulu haiwezi geuza private appointment kama public appointment Na kuitolea press release.No.
Sioni tatizo la taarifa ya Ikulu kwasababu hizi
1. Idara ya mawasiliano Ikulu ni kitengo ndani ya Ikulu si nje.
2. Taarifa kabla ya kutolewa inapitiwa ili kubaini walengwa na ''sababu' ambazo si lazima zielezwe
3. Iwe Binafsi au kiofisi taarifa ikitolewa kwa umma tayari ni public communication kwasababu wanazojua wao.

Taarifa inasema mgeni ameongelea maendeleo kama SGR n.k. Ukiisoma kila walichoeleza kina public interest. Huenda wameongea mambo binafsi ambayo hatupaswi kuyajua na kwavile ni binafsi hayakuwekwa katika barua

Hivyo wao kuwasiliana na umma si bahati mbaya, wanajua kuna public interest. Tatizo ni kwamba hatujui hiyo public interest ni katika publicity au kuna mengine ikiwemo siasa, hatujui

Na kwavile Ikulu imewasiliana na umma, iwe ziara ni public au private tayari kuna public interest kutokana na mawasiliano ya Ikulu na umma kwa njia ya barua

JokaKuu Pascal Mayalla
 

Si vibaya ukipata mawili matatu, kuhusu watumishi wastaafu au wa zamani.
 

Samahani naomba kuuliza hapo Pichani Rais anaugulia jinsi Jasusi / Njagu alivyomshika huo Mkono wake ' Kimedani ' na ' Kikarateka ' au amefurahishwa na Kitu / Jambo fulani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…