Ongeza sauti kichanga cha mwanakijani mmoja,hujasikika wala kueleweka.Tanzania ni nchi ya amani, ndio maana hata habari za "gaidi" Mbowe hazina mvuto tena.
Tuna viongozi wanaobembeleza kuendelea kubaki kwa njia ya machinga, lakini hii inawasaidia kwa muda tu, muda ukifika shida itaibuka tu watashindwa pa kuwaweka na kugeuka tatizo la serikali.Ni aibu sana posta wamejaaa kibao wanapika mihogo moshi kama wote afu kuna maofisi makubwa, serikal iangalie namna ya kudeal na hawa watu, wanaharibu hata mandhari ya jiji, wanaweka vibanda kwenye njia za watembea kwa miguu, kodi hawalipi
ni swala la mda t
Darasa la saba wanafanya mtihani wa kumaliza shule keshokutwa, wanajiandaa kuja kuwa machinga, sasa hivi wanatafuta nauli tu ya kutoka nanjilinji kuja Dar kwa maelfu kufanya umachinga. Unadhani watafanyia wapi?Too much bhana.. Mpaka nje ya ATM
Awamu ya 6 kazi yake nini?! Siyo pamoja na kurekebisha madhaifu ya awamu zilizopita?!Awamu ya 5 aliharibu sn mazingira
Ya 6 ipo busy na maigizoAwamu ya 6 kazi yake nini?! Siyo pamoja na kurekebisha madhaifu ya awamu zilizopita?!
No ni kutokutnamini secta ya mipango miji, urban social and infrastructural design hii unaweza andika na kupata phdKiini cha tatizo ni kukosekana kwa ajira, hii ni njia ya wananchi kujipatia rizki.
Wakati wa uchaguzi manifesto ya Chadema ilielezea kuwajengea machinga vibanda vyenye hadhi ili waweze kufanya biashara katika hali zote za hewa. Pia walisema iko haja ya kuweka sehemu zitakozoendesha biashara kwa masaa 24 ya siku.No ni kutokutnamini secta ya mipango miji, urban social and infrastructural design hii unaweza andika na kupata phd