Kwenye mifugo tunasoma jinsi kufuga wanyama km ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe na wanyama jamii ya ndege km kuku na bata. Pia tunajifunza ujenzi wa mabanda bora ya mifugo na magonjwa ya mifugo.Kama vyote umeweza kuvifanyia kazi, Uko vizuri sana mkuu
Kwa kulitambua hilo, Uko vizuri sana mkuuElimu za shule mengi hayana faida na wewe Geograph iko update google kuliko hivyo vitabu vya shule sasa ukija katika History kuna uwongo kibao humu hakuna uhalisia utasikia tulipigana na wazungu sasa wakati huo bastola tu huna leo hii una majeshi na vifaa na huwezi kupigana nao mambo ya kudanganya tu. Uhuru nchi zilipangiwa zote kwa muda, sasa uje kwenye biashara huko siku hizi kuna ma software tu yanafanya kila kitu. Ila unatoa ujinga tu mwanzo lakini ukishakuwa na akili zako mengine yanapoteza muda tu.
Hapo unamaaisha ambae hajasoma hajui kutumia kiswahili na kiingereza?Mleta mada muongo asilimia tisini tuliyosoma tunayatumia
Mfano kiswahili na kiingereza tunakitumia
Hesabu tunazitumia kwenye maisha ya kila siku kwenye biashara nk
geografia tunaitumia kila siku huwezi kwenda safari popote kama hujui jiografia kuwa ukitoka hapa utaelekea wapi
Historia tunaitumia kujua ni kiongozi yupi anafaa au nani apewe kazi ipi kuangalia uzoefu wake ni somo la historia
nk
wewe sema ndio hujui
The richest man on EarthHuyu ni nani mkuu
dahHautumii asilimia 90 sawa ila wewe ndio utaamua katika hizo 100 utumie 10 zipi
hivyo unapewa chaguo kubwa baadae uchague kinachokufaa
ulipo kuwa mtoto ulitaka kuwa rubani ulivyokuwa mkubwa ukatambua hesabu hujui
ukaangukia kwenye siasa ukapiga watu ukawa ole sabaya