Ikiwa Baraza la Mawaziri litavunjwa, Napendekeza Mkuchika kwa Umri wake atamfaa Mama

Nchi yenye vijana wa mipango..yaan mtendaj mkuu wa serikal awekwe mzee ambae umri umeenda kisa tu siasa et hatokua mwiba kwake?..nawew kijana timamu kabisa unaombea hilo..aisee...
Nimeshauri hivyo baada ya kuona Mama ana uchu wa madaraka. Hivyo nikaona afanye hivyo ili apate usingizi mzuri.
 
Jambo usilolijua ni kuwa SAMIA emewekwa hapo na Kikwete,na Majaliwa amewekwa hapo na Kikwete na ni Ndugu yake Mke wa Kikwete.

Hili litawezekana kama umewasiliana na Kikwete,vingenevyo endelea kuota.Kama Magufuli alishindwa kumtoa Majaliwa ataweza SAMIA???
Mambo mazito haya
 
Lukuvi huyu aliyewatukana Waislam Zanzibar au Lukuvi yupi??
Kapewa kazi ya monitoring au kusimamia Mawaziri akionekana umri umeenda. Mkuchika mkubwa kuliko Lukuvi anaendelea Barazani. Hata huu uzi wangu najua Kuna kitu nimesababisha serikalini. Mama yupo huku wallahi.
 
Back
Top Bottom