Nitamwambia nilikuwa nakutestkiwa hauamini uwepo wake, ukaenda ukamkuta, nini jambo gani utalitumia kujitetea
Etheist wanaamini uende wapi wakati ushakua mchanga. Siku ile roho inatoka kwenye mwili ndio imeisha uwepo wake yaani roho haiwezi kuishi nje ya mwili. Kwa hivyo nini kikute eti mungu yupo🤣Deep down, kuna vitu vinakua overrated sana
Wengi huwa wanasema ni bora uamini yupo, uende ukute hayupo. Kuliko uamini hayupo, uende umkute
Ukiwa hauamini uwepo wake, ukaenda ukamkuta, nini jambo gani utalitumia kujitetea
Utetezi wake ni mdogo sana, kwamba: 'hapakuwepo na chanzo sahihi cha kisayansi kuthibitisha.'Deep down, kuna vitu vinakua overrated sana
Wengi huwa wanasema ni bora uamini yupo, uende ukute hayupo. Kuliko uamini hayupo, uende umkute
Ukiwa hauamini uwepo wake, ukaenda ukamkuta, nini jambo gani utalitumia kujitetea
. ...eti uamini yupo afu ukute hayupo.......huu n upagan kama upagan mwingne ....bora ata atheistDeep down, kuna vitu vinakua overrated sana
Wengi huwa wanasema ni bora uamini yupo, uende ukute hayupo. Kuliko uamini hayupo, uende umkute
Ukiwa hauamini uwepo wake, ukaenda ukamkuta, nini jambo gani utalitumia kujitetea
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Mkuu, kabla ya kutoa hii mada ulijiandaa kisaikolojia kupambana na ma atheist?
Atakuja Kiranga hapa atakushushia nondo unaeza jikuta unaukimbia uzi wako
umeona gari inatembea barabarani na imeandikwa made in china na ww unaamini yuko designer na maker wa hiyo gari bila hata kumuona lakini unapoangalia universe na mambo yake haumin kuwa yupo designer na maker unasema ulitokea bahati na sibu daah. Mtu wa hivi ata ukimuona utambishia kuwa siye YEYE (BWANA WA WOTE wenye mwili)) ukiwemo ww KIranga)Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, angejidhihirisha kwa wote, bila utata, kwa wakati wote, wamjue, kwa namna ambayo hata mjadala huu usingewezekana. Mjadala huu kuwezekana ni uthibitisho Mungu hayupo...
Mjadala wowote, wenye swali lolote, kuhusu Mungu mjuzi wa vyote, mwenye uwezo wote na upendo wote, uwepo wake, kazi zake etc, ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.Kiranga akija hapa sijui kama mtaweza kujibu mapigo yake.... nawaambia mtaharibu mjadala wenyewe lakini hamtamuweza kwa hoja
Kwanza kabisa, umefanya logical fallacy ya logical non sequitur.umeona gari inatembea barabarani na imeandikwa made in china na ww unaamini yuko designer na maker wa hiyo gar bila hata kumuona lkn unapoangalia universe na mambo yake haumin kuwa yupo designer na maker unasema ulitokea bahati na sibu daah....mtu wa hivi ata ukimuona utambishia kuwa siye YEYE (BWANA WA WOTE wenye mwili)) ukiwemo ww KIranga)