Ikitokea ukaambiwa hivi

Ambao hawasumbuani ktk mahusiano ni wale ambao wamerithi mihemko kutoka kwa wazaz,, wanaishi kimuhemko sio kimantiki,Maisha ni HISIAhisia ni kitendo cha muhemko,,,so wengi tunapeleka mapenz kimantiki badala ya hisia,na ndio tunapokwama.
 
Unajua penye mapenzi ya kweli huwa walaaa hapahitaji juhudi saana, yani unajikuta tu unamtendea mwenzio vile ungependa akutendee na walaa huoni tatizo.

That person ambae ukimfikiria unafurahi tu, mtu ambae ukiamka unaposali lazima umjumuishe kwenye sala, baada ya hapo utataka kujua ameamkaje na kumtakia siku njema, jioni utamtafuta kujua siku yake ilikwendaje, tena mnaweza pigiana mkasali pamoja na kutakiana usiku mwema, mkiwa mke na mume ndio rahisi kabisa.

Sasa mahusianao ya hivyo haki huwezi kumwambia mwenzio kauli za ajabu ajabu, na hata ikitokea mmekosana yaani hamtalala bila kumaliza tofauti zenu, true love inanguvu sana.
You have said it ALL
 
Na ndo maana tunasisitiziwa usimpende mtu sababu ya kitu fulani, hilo ndo linalotumaliza. Siku kikikosekana na mapenzi yameishia hapo, penda kwa moyo wako wote, nguvu zako zote na akili zako zote na Mungu atakuona. Upendo ndo kila kitu kwenye mapenzi
Kabisa best yangu
 
Uko vizuri sana hongera kwa hekima na busara tele.

Anayekupenda hatotaka kukuona unaumia mkwe!! Mkipendana kweli basi mengine yanaflow tu hata ikitokea shida basi mnaitatua vizuri tu. Speaking out of experience.

Kupendana haimaanishi basi mtaishi bila vikwazo,vikwazo vipo ila upendo mlionao utawasaidia katika kutatua tatizo hilo smoothly. Na hapa naongelea upendo wa pande zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom