Ikitokea ukaambiwa hivi

It happened enzi hzo kijana na u boifrend na u gelofrend nilichoamua nkamuacha kama alivyo i gave her space
Maana nlijua the harder a try to bring her back the more a push her away
After sometimes akaanza kunimiss tena maisha yakaendelea
Same asee nilimpendaga huyo mduu akaniambiaga hzo words asee niliwish ardhi ipasuke niingie but nashukuru JAH nipo nafuraha na manzi wangu.
 
Na ndo maana tunasisitiziwa usimpende mtu sababu ya kitu fulani, hilo ndo linalotumaliza. Siku kikikosekana na mapenzi yameishia hapo, penda kwa moyo wako wote, nguvu zako zote na akili zako zote na Mungu atakuona. Upendo ndo kila kitu kwenye mapenzi
 

Mbona shetani!! Ila wengine hupitia katika maisha yetu ili kuwa kama funzo na kutuimarisha kujua thamani ya yule akupendae.
Afadhali athaminike bhas
At list atakupa moyo wakuendelea nae

Lakin sasa unakuta yy
Anapta kushoto ww kulia

Hapo ndo unapata 0+0

Yy anaona hakunq unachomsaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom