Ikitokea ukaambiwa hivi

Mkuu acha tu ..unaweza hata kwenda baharini usiku ukakaa tu
Malezi na mazingira pia yanachangia.
Mfano kwa malezi niliyokulia nimeanza kuona watu wakililia mapenzi nikiwa mdogo sana, zile ishu zimenipa matarajio ya nini cha kutarajia katika mahusiano. Hii pia imeathiri namna ninavyomuapproach mwenza.

Ninaweza nikakaa muda mkubwa sana nikiwa nafanya vipimo vya niende au nisiende, along the way nishakosa wenza kisa huu mtindo.

Pia usipende kwenda baharini usiku kuna askari.
 
Always love is feelings and not commitment, you can't commit to love someone kama moyo wako hujafeel na kuridhia, siku zote moyo ndo huamua, huwezi kupanga bila moyo kukubali.
Hizo feelings zikiisha badae anakuambia sina feelings na wewe sababu huna gari...ama hunisaidii shida zangu ...ama matiti yako yamelala sio kama.zamani...ulikua portable saiv umenenepa sina feelings na wewe ..

Nafikir feelings ziongozwe na commitment,mapenz ya kweli sio mapenzi ya kuongozwa na hisia tu, lazima uwe commited pia. Tena hisia za mapenzi ya kweli yasiyo na sababu ..mpende mtu kwa jins alivyo.

Unakutanaa na mtu umependa msambwanda wake ama uzuri wake(kwa mwanamke) ama u handsome wake (kwa mwanaume), then unapata hisia sjui za mapenzi kumbe ni hisia tu ambazo ndan yake hamna mapenz ya kweli wala commitment then unasema unaamua kua nae kumbe umependa msambwanda wake tu ama u handsome wake tu, siku msambwanda unaisha ama u handsome unaisha pengine amepata ajali uzur wote umeisha usoni, HISIA au FEELINGS zinaisha hapo hapo kumbe hukumpenda kama alivyo kwamba lolote litakalotokea tutakua pamoja tu, ulimpenda sababu ya kitu alichonacho sasa hicho kitu hakipo unaenda kukitafuta kwa mwingine.

Kitu ambacho tu utaweza kukitafuta kwa mwingine ni upendo wa kweli/dhati, kama hauna upendo wa kweli kwangu ninataka nini kwako?
 
Malezi na mazingira pia yanachangia.
Mfano kwa malezi niliyokulia nimeanza kuona watu wakililia mapenzi nikiwa mdogo sana, zile ishu zimenipa matarajio ya nini cha kutarajia katika mahusiano. Hii pia imeathiri namna ninavyomuapproach mwenza.

Ninaweza nikakaa muda mkubwa sana nikiwa nafanya vipimo vya niende au nisiende, along the way nishakosa wenza kisa huu mtindo.

Pia usipende kwenda baharini usiku kuna askari.
Haha hapo umeshachanginykiwa hujui tena hayo mkuu ..ni kipind flan kigumu kama Mungu hakuongozi unaweza ku end up sehem mbaya
 
Anayekupenda hatotaka kukuona unaumia mkwe!! Mkipendana kweli basi mengine yanaflow tu hata ikitokea shida basi mnaitatua vizuri tu. Speaking out of experience.

Kupendana haimaanishi basi mtaishi bila vikwazo,vikwazo vipo ila upendo mlionao utawasaidia katika kutatua tatizo hilo smoothly. Na hapa naongelea upendo wa pande zote.
Niwe mkwel toka nmekufahamu kwa mara ya kwanza umeongea point mnooo sjawah kuona busara kama hii mkwe embu unachokunywa agiza mara tatu yake na kidari cha kwio
 
Umemaliza kila kitu besti
Unajua penye mapenzi ya kweli huwa walaaa hapahitaji juhudi saana, yani unajikuta tu unamtendea mwenzio vile ungependa akutendee na walaa huoni tatizo.

That person ambae ukimfikiria unafurahi tu, mtu ambae ukiamka unaposali lazima umjumuishe kwenye sala, baada ya hapo utataka kujua ameamkaje na kumtakia siku njema, jioni utamtafuta kujua siku yake ilikwendaje, tena mnaweza pigiana mkasali pamoja na kutakiana usiku mwema, mkiwa mke na mume ndio rahisi kabisa.

Sasa mahusianao ya hivyo haki huwezi kumwambia mwenzio kauli za ajabu ajabu, na hata ikitokea mmekosana yaani hamtalala bila kumaliza tofauti zenu, true love inanguvu sana.
 
It happened enzi hzo kijana na u boifrend na u gelofrend nilichoamua nkamuacha kama alivyo i gave her space
Maana nlijua the harder a try to bring her back the more a push her away
After sometimes akaanza kunimiss tena maisha yakaendelea
Richard Marx- right here waiting
 
Unajua penye mapenzi ya kweli huwa walaaa hapahitaji juhudi saana, yani unajikuta tu unamtendea mwenzio vile ungependa akutendee na walaa huoni tatizo.

That person ambae ukimfikiria unafurahi tu, mtu ambae ukiamka unaposali lazima umjumuishe kwenye sala, baada ya hapo utataka kujua ameamkaje na kumtakia siku njema, jioni utamtafuta kujua siku yake ilikwendaje, tena mnaweza pigiana mkasali pamoja na kutakiana usiku mwema, mkiwa mke na mume ndio rahisi kabisa.

Sasa mahusianao ya hivyo haki huwezi kumwambia mwenzio kauli za ajabu ajabu, na hata ikitokea mmekosana yaani hamtalala bila kumaliza tofauti zenu, true love inanguvu sana.

Ila twin aliyekubadilisha siku hizi apewe tu zawadi aisee..mawazo yako yameboreka mara 4 zaidi .
 
Unajua penye mapenzi ya kweli huwa walaaa hapahitaji juhudi saana, yani unajikuta tu unamtendea mwenzio vile ungependa akutendee na walaa huoni tatizo.

That person ambae ukimfikiria unafurahi tu, mtu ambae ukiamka unaposali lazima umjumuishe kwenye sala, baada ya hapo utataka kujua ameamkaje na kumtakia siku njema, jioni utamtafuta kujua siku yake ilikwendaje, tena mnaweza pigiana mkasali pamoja na kutakiana usiku mwema, mkiwa mke na mume ndio rahisi kabisa.

Sasa mahusianao ya hivyo haki huwezi kumwambia mwenzio kauli za ajabu ajabu, na hata ikitokea mmekosana yaani hamtalala bila kumaliza tofauti zenu, true love inanguvu sana.
Zaid ya nguvu hata mkikosana

Hamtamaliza 6hours bila kumaliza
Tofaut zenu

Mapenz n matam mahali
Penye true love ya moyon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom