Ikitokea Rais mwanamke, itakuwaje katika haya?

Ikitokea Rais mwanamke, itakuwaje katika haya?

Benjamini Netanyahu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
102,676
Reaction score
126,848
Wataalamu,

Naomba kueleweshwa kwa jambo hili, ikitokea nchi yetu tukapata Rais mwanamke, je mume atakuwa anaogozana na mke wake? Na kama ni mfanyakazi ataacha kazi ili kuwa karibu na Rais?

Nimeuliza kwa nia ya kueleweshwa maana hapa ndani kuna wataalamu wazuri wa mambo mbalimbali.

Nawasilisha kwenu wakuu.
 
Hiyo ni hiari yake, kwani hata Rais mwanaume kuna wanaompangia kuzuguka na mkewe?
Au kwani Rais anawajibika kwa nani mpaka aone tatizo juu ya hilo?
 
Hayo ni mambo ya kifamilia itategemea wao wenyewe kama wanapenda kufuatana kila mahali sidhani kama sheria kuna Mahali inamkataza Rais kuambatana na mke/mume wake labda kama kuna sababu za kiusalama.

Lakini pia najua wanaume wengi hawapendi kufuatana na wake zao kwenye mambo ya kikazi ikiwa mke anafanya kazi ambayo ipo juu zaidi yake.

Hayo ni mawazo yangu
 
Wataalamu,

Naomba kueleweshwa kwa jambo hili, ikitokea nchi yetu tukapata rais mwanamke, je mme atakuwa anaogozana na mke wake? Na kama ni mfanyakazi ataacha kazi ilikuwa karibu na rais?

Nimeuliza kwa nia ya kueleweshwa maana hapa ndani kuna wataalamu wazuri wa mambo mbalimbali.

Nawasilisha kwenu wakuu.

Subiri Mama Clinton apate tutajua tu.................................
 
Wataalamu,

Naomba kueleweshwa kwa jambo hili, ikitokea nchi yetu tukapata rais mwanamke, je mme atakuwa anaogozana na mke wake? Na kama ni mfanyakazi ataacha kazi ilikuwa karibu na rais?

Nimeuliza kwa nia ya kueleweshwa maana hapa ndani kuna wataalamu wazuri wa mambo mbalimbali.

Nawasilisha kwenu wakuu.
Kwani kwa sasa makamu wa Rais Samia anaongozana na mumewe? Jibu kwanza ndio tuendeleze mjadala
 
Rejea kwa Asha Rose Migiro.
Naomba niweke nukta...
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom