fundichupi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 382
- 238
Mie nilipoachishwa kazi kwa kutoelewana na mkuu wa utendaji basi nilikaa hom takribani miezi mitatu, sikupata stress sana maana nilikuwa na savings kubwa na pia kwa kipindi hiko nilifanya operesheni hvo nikajisemea its for the better nipumzike na kupona taratibu. Wakati nipo home nilikuwa natuma Cv na application letter ktk kila kona nayoona wana vacany. Kusali na kuamini ntapata nikajikuta napata mshikaji akaniunga ofisini kwao ambapo wakati nipo hapo nikawa bado pia natuma maombi sehemu mbali mbali ili kupata mahala penye unafuu.
Muhimu ni kutokata tamaa na pia kumwamini mungu kuwa kila jambo lina maana yake. Tujifunze kuwa na displini ya matumizi na kuweka akiba nyingi ili kipindi cha mpito kikikukuta una means za kujikimu na kukaa na kujipanga upya.