MKILINDI
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 987
- 1,521
Kwani nilizaliwA na kazi?
ulizaliwa na njaa lakn huwez kuishi bila kula.
ulizaliwa uchi lakn huwez kuishi bila nguo.
ulizaliwa na pumzi lakn huwez kuishi bila pumzi.
ulizaliwa bila kazi lakn huwez kuishi bila kazi.