Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Sema kwa mila za kibongo kumsifia kwa upande huo inakuwa kama haijakaa poa sana kwa sababu kwanza ni mkubwa kiumri na kimadaraka, labda umsifie tu upole halafu unavunga, ila hata mi binafsi niliwahi kumwambia mtu mmoja wa karibu kwamba huyu bi mkubwa ni kisu sana! Upole sasa...
 
Back
Top Bottom