Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba!

Km una lakusema si useme moja kwa moja tu?

Nini kupoteza muda kuzunguka?

Kati ya nyuzi ulizowahi kuleta hapa na zikaniboa hii ni mojawapo

Umeniboa
 
NIMEOMBA KWANZA HEADLINE IREKEBISHWE.
p

Hata headline ikibadilika tayari majibu yapo. Kitendo cha cdm kushiriki uchaguzi huu kimesababisha mambo mengi kuwa wazi na hila zote za awamu sasa ziko wazi peupe. Ccm wahakikishe wanaifuta cdm maana uwezo wa kushindana nayo haupo tena. Ccm ni chama kizee hivyo hakina namna zaidi ya kufuta chama chenye mvuto.
 
Pascal Mayalla Na ikigundulika kuwa sio na ni kosa la NEC na Vyombo vya usalama, Waziri wa mambo ya ndani, IGP RPC Mambosasa na Mwenyekiti wa NEC na DED woote wajiudhuru nafasi zao kabla ya kuondolewa na wachukuliwe hatua kwa kuwa chanzo cha hizo vurugu pia washitakiwe kwa mauaji.
 
Mkuu Paskal ,nnaomba tuanze na tafsiri ya 'Vurugu' ni nini ndipo tutajua mhusika Mkuu.Sababu Vurugu ni Matokeo tu ya kuvunjwa kwa utaratibu flani tulio jiwekea..

Ni nani alivunja huo Utaratibu ?..
 
Pascal Mayalla kabla hawajafikia watueleze sababu za kuzuia mandamano halafu wachanganue kwa nini wananchi waliandamana
Kifo cha huyu mtoto ccm wasitafute mchawi
Wakitaka kilipuke waseme wanafuta Chadema hapo ndipo watatambua wamewasha moto kwa gas station
Wasifikiri watu wajinga
Hili waombe watumie busara kuliko nguvu
MANDAMANO NDIO UKOMBOZI NI AFRICA PEKEE KUANDAMANA NI JINAI why??
 
Wee jamaa unafanya hii kazi ya uandishi wa habari mwaka wa 30 huu,ila hutaweza fika status ya akina Jenerali Ulimwengu sababu huna akili kama wao!

Upo upo tu na kupayuka payuka kama juha vile!

Shida ni kua una akili kisoda mkuu!Mungu hakukupa akili,hata ujifarague vipi!
 
Kumbe kufuta Chama ni gharama kubwa kuliko gharama za Chaguzi za Marudio!!

Huyo Tendwa anasubiri nini? Au maagizo kutoka juu kama ile risasi iliyoenda juu na kurudi kuja kutekeleza mauaji
 
Kwahiyo kma ccm kinahusika hawezi kukifuta sababu ndio watawala,huyo msambaa tendwa apimwe mkojo,ubongo,haja kubwa kuangalia kma anaelement za nabii tito.
Huyo anafaa awe jaji wa miss tanzania kwa akili mbovu alionayo
 
Pascal Mayalla Paskal na wewe umejitoa fahamu? Yaani umekula vicent vya Maliyamungu Bashite nini? Sababu ya maandamano na chanzo cha maandamano ni CCM na mkurugenzi kada wa CCM kula njama za kuwanyima barua mawakala wa upinzani, na kama kusingekuwa na njama za kuwahujumu chadema kupitia barua toka kwa mkurugenzi wa CCM kusingekuwa na maandamano hayo, je? Paskal ulitaka barua za mawakala zidaiwe lini na kwa stye ipi?

Je? Wewe Paskal wakati mkurugenzi wa CCM anafanya njama za hujuma kwa Wapinzani hukuwepo Dsm? Hukusikia huko ulipokuwepo? Ulitoa mchango gani kulaani hizo hujuma? Kama ni kesi na lawama zote wa kubeba mzigo ni mkurugenzi wa CCM ambaye ndiyo chanzo cha yote mabaya. Yapo mazingira ya kujaribu kutumia fursa hii kumbambikia kesi mbowe, hizo njama zinaongozwa na Le mutuz, Jerry muro, Lipumba na Boss wao Maliyamungu Bashite mjukuu wa idd Amin,

hakuna siri juzi le mutuz kalala na mchepuko katoa siri zote na wamemrekodi, hizo njama za kuwakomoa Wapinzani kupitia vitu ambavyo vilifanywa makusudi na CCM wakijua Wapinzani watadai haki wapate kuwabambikia kesi zimejulikana mapema na Albadri inaandaliwa mapema wote ambao watashiriki Uonevu huo watavuna Dhambi zao.
 
Back
Top Bottom