Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,618
- 2,715
Hawa ndiyo Ma Think Tank wa Lumumba..Chadema mnataka kuwasahaulisha wanachama wenu aibu ya kushindwa kwa tukio la msiba kama ilivyo kawaida yenu.
Hawa ndiyo Ma Think Tank wa Lumumba..Chadema mnataka kuwasahaulisha wanachama wenu aibu ya kushindwa kwa tukio la msiba kama ilivyo kawaida yenu.
Washitakiwa ni polisiccm na mkurugenzi wa CCMKwa maoni yangu na mtazamo wangu watu wanaostahili kulaumiwa kwa mauaji ya Aquilina
1. MKURUGENZI
2. CHADEMA
3. POLISI
Mkurugenzi alichelewesha barua za mawakala ikawafanya CHADEMA waandamane, CHADEMA waliandamana pasipo kuwa na kibali cha kufanya hivyo, POLISI walitekeleza wajibu wao kwa kutumia risasi za moto(kosa) kwa watu wasiokuwa na silaha
We Need an Independet National Election Commitee.'Tunahitaji tume huru ya uchaguzi ya Taifa la Tanzania hii tuliyo nayo Ni Tume Huru ya CCMkwa mtu yyte mwerevu ni ngumu sana kuelewa akili za CCM+POLISI+NEC+MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ni kama watu wake waliruka stage fulani ktk ukuaji wao!
Malkia Mrembo, katika siku hiii wiki, mimi nimepandisha nyuzi hiziHabari zenu mabibi na mabwana, nimejikuta nawaza kwa upole sana kwamba ktk kipindi hiki cha huzuni nchini, nilitegemea kuwaona watu kama akina Pascal Mayala, ambao ni prominent peoples in JF wakitoa makala au writings zao juu ya hali ya siasa, kijamii na kiuchumi kwa sasa.
Msitu wa Facebook au Instagram mkuu!?Bora ili tuingie msituni maana hakuna faida ya kupoteza muda kufanya maigizo ya uchaguzi huku mshindi anajulikana.
Ushauri wangu kwako, jitahidi kukitafuta yule Pascal Mayalla wa kaleWana Chadema wapenda amani, natoa wito kwa wana Chadema na Watanzania wenzangu wote wa vyama vyote, waliojiandikisha kupiga kura, siku ya tarehe 28 October, tujitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura na kutumia haki yetu ya kidemokrasia kuchagua viongozi tunaowataka, ila tusifanye makosa, tuchague viongozi wa ukweli kutoka vyama vya ukweli, watakao weza kutuletea maendeleo ya kweli.
P
Wewe ni kada, hueleweki. Chagua Msukuma mwenzio wengine hatumtaki!Wana Chadema wapenda amani, natoa wito kwa wana Chadema na Watanzania wenzangu wote wa vyama vyote, waliojiandikisha kupiga kura, siku ya tarehe 28 October, tujitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura na kutumia haki yetu ya kidemokrasia kuchagua viongozi tunaowataka, ila tusifanye makosa, tuchague viongozi wa ukweli kutoka vyama vya ukweli, watakao weza kutuletea maendeleo ya kweli.
P
Wahutu mna roho mbaya sana.Wanabodi,
Iwapo itathibitika pasipo shaka, (proven beyond reasonable doubt), kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA, walijua, walishiriki, na walihusika kwa namna moja au nyingine, katika kupanga au utekelezaji wa vitendo vyovyote vya uvunjifu au kuvuruga amani na utulivu wa taifa hili!, Chama hiki kitapoteza sifa ya kuwa chama cha siasa, na kitafutwa rasmi toka ndani ya daftari la vyama vya siasa, (scraped from the book of political parties), mara moja na bila huruma yoyote!.
Kauli hii, imetolewa leo na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji John Tendwa, katika maongezi yangu ya ana kwa ana,(please note ni maongezi na sio mazungumzo!) yalifyonyika leo jioni katika hoteli ya moja mjini Dodoma.
Kama kawaida yangu, nipatapo nafasi, na sababu ya kuwepo Dodoma, huwa nakwenda Dodoma, na ni kawaida yangu kufikia hoteli hii ambayo huwa nafikia mara kwa mara, ambayo ni kama RV ya kujichanganya kwa urahisi na waheshimiwa mbalimbali na kubadilishana nao mawazo.
Siku ya leo jioni, nilikutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji John Tendwa, nikamsalimu, na akanikaribisha alipokuwa amekaa peke yake, hivyo nikamjoin kwa maongezi tuu, na sio mazungumzo!.
Katika maongezi yetu kuhusu hali ya siasa hali ya siasa nchini, niliulizwa swali kuhusiana na ile "bonafide genuine!" endapo itakutikana " proved beyond reasonable doubt!" by "the court of competant jurisdiction" kuwa ile kitu ni kweli na ni "bonafide genuine!", na ikithibitika kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA walihusika kwa kujua, waliipanga na walishiriki sio tuu kwenye "actus reus!", bali pia kwenye "mens rea!", basi Msajili wa vyama nchini, Jaji John Tendwa, atakuwa hana option nyingine, bali kukifuta rasmi Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini, yaani CHADEMA, toka ndani ya daftari la vyama vilivyosajiliwa, bila huruma yoyote, wala kujiuliza mara mbili mbili, bila kujali the consequenses au repacussions za uamuzi huo, kwa sababu hivyo ndivyo sheria ya vyama vya siasa inavyoelekeza kwa mujibu wa katiba ya nchi hii! ambayo yeye ameapa kuilinda.
Kwa kifupi amemaanisha iwapo chama cha siasa kitathibitika kufanya ugaidi, kitafutwa!.
Hata hivyo nikadadisi zaidi, iwapo tuhuma za ugaidi zatathibitika kufanywa na chama tawala CCM, jee nacho, atakifuta bila huruma?!. Baada ya swali hilo, kwanza Msajili alisita kidogo na baadae kusema kuwa kama ni CCM, kwa vile hiki ni chama tawala, kikithibitika kufanya makosa ya ugaidi, au uvunjifu wa Amani, hatakifuta right away eti kwa sababu ni chama tawala!, kukifuta chama tawala ni kuvunja serikali iliyopo madarakani!, CCM kikifanya ugaidi, au uvunjifu wa Amani hata kivunja, bali atakipeleka mahakamani ili mahakama ndio itoe utaratibu wa nini cha kufanya endapo chama tawala kitapoteza sifa ya kuwa chama cha siasa wakati kingali madarakani!.
Hii inamaanisha as of now, Tanzania bado hatuna sheria yoyote ya kuibadili serikali iliyopo madarakani nje ya ballot box!, hata kama serikali hiyo itakuwa ni serikali dhalimu kiasi gani!, na chama tawala, kikishashika madaraka, hata chama hicho kivunje sheria vipi, kitaendelea kuwepo madarakani no matter what!.
My take
Wakati tunasubiria katiba mpya kuziadress such issues, kuna umuhimu wa kuyafanyia mapitio ya double standards za mamlaka ya msajili wa vyama vya siasa, isije kutokea vyama vikafanya makosa ya kustahili kufutwa, msajili akatimiza wajibu wake kwa kuvifuta, watu wakaishia kupiga kelele na kulalamika bure kuwa hawakutendewa haki, waki vyama vingine, vikifanya makosa yale yale, vikiachwa eti kwa sababu ni chama tawala!.
Pia nilimuulizia kidogo kuhusu kuijua JF, akasema anaijua sana na anaisoma, ila anakerwa na baadhi ya wachangiaji ambao wao kazi yao ni kutukana tuu na kuchangia kwa lugha zisizo heshima na staha kwa serikali na viongozi wa taifa hili!. Nilimwambia hiyo ndio maana halisi ya social forums, watu kujiachia watakavyo!.
Naomba kuchukua fursa hii kuwaomba wana JF wenzagu, tunawajibika kuendelea kuijenga jf na kuilinda heshima ya jf kwa kuchangia kistaarabu kwa lugha za heshima na staha kwa watu wote wakiwemo viongozi wa kitaifa!.
Najua kuna wenzetu humu, kwao JF ni just their favorite past time na huja humu wakati hawana shughuli au kitu kingine chochote cha kufanya!, nawaomba mtuhurumie sisi ambao kwetu JF ni zaidi ya nyumbani kwetu, jf ni sebuleni kwetu, jf ni chumbani kwetu, jf ni kitandani kwetu, tunashinda JF, tunakula jf, tunalala JF, tunaamka JF, in short kwa sisi wengine wetu, jf ndio kila kitu kwetu, tunaiishi JF, yaani kwetu JF is our life that we are living for!.
Wasalaam.
Pasco
Safarini Dodoma.
May 14, 2013
NB. Hili ni bandiko la 2013, nimelikutwa limefungwa!, mode ukilifungua, itasaidia sana.
Nimeliibua baada ya kuona kama Chadema wanataka kutafutiwa sababu kwanza kwa kumtafuta MBOWE na kumfanya bangusilo wa kifo cha yule mwanafunzi, ili kuhalalisha udhalimu huu, wanaweza kuwatoa kafara majeruhi fulani, kisha kutumia rungu la sheria kumaliza mambo!.
Kisingizio cha kumhusisha MBOWE ni hoja ya kuandamana bila kibali hivyo kutaka kuigeuzia kibao Chadema ndio imesababisha.
Tunapaswa kufuata sheria, taratibu na kanuni.
Sheria ya maandamano inatoa uhuru wa vyama kuandamana bila kibali, ila sheria hiyo imetungiwa kanuni za kutoa taarifa kwa OCD 48hrs kabla ili akupatie ulinzi. Sasa kama tayari polisi walikuwepo, unatoa taarifa ya nini?.
Taratibu zinaruhusu kufanya maandamamo ya bila kibali kukitokea jambo lolote la dharura, sambamba na mikusanyiko ya bila vibali kukitokea dharura. Mazingira yenyewe ni kama haya niliyoyashuhudia hapa,
Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi
Kwanza MBOWE na Chadema hawajavunja sheria, ila wamekiuka kanuni kuandamana bila kibali, ila yale hayakuwa maandamano ya kupangwa, imetokea dharura, hawakutendewa haki, hivyo wamekuwa provoked na kulazimika kuandamana, kufuatia kwa nini CCM tuu ndio wapewe barua za utambulisho na wao wanyimwe?. Provocation ni defense before the court of law, mtu akiwa provocked, anaweza kufanya lolote hadi kuua, na kuachiwa, depending on the nature ya hiyo provocation, na bila maandamano yale, barua za utambulisho zisinge toka, zimekuja kutoka saa 5 usiku!.
Kufuatia mazingira hayo, then, hakukuwa tena na muda wa kufuata taratibu kuomba kibali, bali walikuwa na wajibu wa kufanya maandamano ya Amani, bila fujo wala vurugu yoyote!.
Jeshi la polisi nalo lina mandate ya kutuliza fujo, kwa kudhibiti maandamano yasiyo na kibali, ila yalihitaji busara itemize na sio kwa kutumia nguvu kubwa kuliko iliyohitajika, ila swali linabaki, kwa nini watumie risasi za moto?!. Usikute risasi ile haikufyatuliwa na polisi bali imefyatuliwa na watu wasiojulikana, kama wale wa shambulio la Lissu, na ilikuwa imelengwa kumpata mtu fulani!, ikamkosa, na kumpata malaika yule!.
Chadema shukuruni sana Mungu, maana ingempata mlengwa, saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
P.
Bandiko hili la 2013, bado liko valid kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye kesi ya Mbowe.May 14, 2013
NB. Hili ni bandiko la 2013, nimelikutwa limefungwa!, mode ukilifungua, itasaidia sana.
Nimeliibua baada ya kuona kama Chadema wanataka kutafutiwa sababu kwanza kwa kumtafuta MBOWE na kumfanya bangusilo wa kifo cha yule mwanafunzi, ili kuhalalisha udhalimu huu, wanaweza kuwatoa kafara majeruhi fulani, kisha kutumia rungu la sheria kumaliza mambo!.
Chadema shukuruni sana Mungu, maana ingempata mlengwa, saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
P.
Wanabodi,
Iwapo itathibitika pasipo shaka, (proven beyond reasonable doubt), kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA, walijua, walishiriki, na walihusika kwa namna moja au nyingine, katika kupanga au utekelezaji wa vitendo vyovyote vya uvunjifu au kuvuruga amani na utulivu wa taifa hili!, Chama hiki kitapoteza sifa ya kuwa chama cha siasa, na kitafutwa rasmi toka ndani ya daftari la vyama vya siasa, (scraped from the book of political parties), mara moja na bila huruma yoyote!.
P.
Kuna public crimes na private crimes.Sasa Polisi kama wamepewa hints juu ya wahusika ambao ni Chadema kwa nini hawachukui hatua?