donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Inaonesha upo na goma hapo, mkinaliza kula ulifumue fumue, maana hiyo ni chumba ya hotel
Wala sio uongo tena inaonyesha amelala nalo sasa anaendeleza weekend, ona kitanda kilivyo vurugika
Sent using Jamii Forums mobile app
hyo siyo nyama haramu? astakafulah!
HahahahaInaonesha upo na goma hapo, mkinaliza kula ulifumue fumue, maana hiyo ni chumba ya hotel
HahahahaAnapiga kazi kazi ya hatari.... Anafaidi... Maana mwanamke huwa akitoa lock, wanakuwaga mafundi hao, maana aibu zote huwatoka
Hahah, flexibility mkuumkuu kutoka Windhoek hadi safari??
Kweli January sio mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu kutoka Windhoek hadi safari??
Kweli January sio mchezo.