Ijumaa ya mwisho wa Mwezi

Ijumaa ya mwisho wa Mwezi

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Nyie wanaume!!!

Fungueni hizo waleti wenzio tunywe Heneken.
 
Bandari ya Salama ndiyo makazi...ila kwa sasa nipo kibaruani nahesabu tu masaa ya kuchomoka hapa...

Lifikiri ushakalia kiti kirefu nije. Today I need that beer like no one business.
 
Lifikiri ushakalia kiti kirefu nije. Today I need that beer like no one business.

Bado unaweza ukasubirsubiri hadi muda fulani wa kuondoka kibaruani...haya hebu nipe lokesheni yako basi
 
Bado unaweza ukasubirsubiri hadi muda fulani wa kuondoka kibaruani...haya hebu nipe lokesheni yako basi

247627_4655585911479_529965355_n.jpg


Niko Tegeta Club 71
 
Lol...that's the other side of city, ungekuwepo maeneo karibu kama Mwenge , Mlimani, Sinza, Ubungo, Kinoclain....ningelijongea best


247627_4655585911479_529965355_n.jpg


Niko Tegeta Club 71
 
Lol...that's the other side of city, ungekuwepo maeneo karibu kama Mwenge , Mlimani, Sinza, Ubungo, Kinoclain....ningelijongea best

Jombaa tegeta ni number nyingine ondoka huku mashenzini
 
Back
Top Bottom