Aiii jamani nimeipata hii server ipo slow leo mpaka kero!!jamani thumbs down tena mimi49
babe utambulisho tafadhali,mi si unajua kwenye familia bado mgen
figganigga mbona husomeki??????
na mimi niko kwenye mikono salama!!!!!!!!!!!
naomba unihakikishie usalama wangu babe
mia mzima lakini.
we kaka nawe, mkeo asipo tongozwa unalalamika umeoa mke mbaya na akitongozwa unalia eti ni kiluka njia.... Heaven on earth wala hatembei nao kwa taarifa yako huwa anawadanganyaga tu
We nawe huachi..Si niko pembeni yako hapa...Sitaki kumwaga mchele kwenye kuku wengi...Njoo nitakunongoneza sikioni...:smile-big: Sogea karibu..baby uko wapi now? mimi49 unajua kama nakupenda? i love u so much.
sema wewe kiazi,nikisema mie mhogo naonekana kiruka njia
Nakuheshimu sana Arabela so itabidi nithink twice juu ya Heaven on earth. Mia
ila nasikia tuna wifi mwingine
anaitwa Cantalisia,ndio tunasubiri
utambulisho toka kwa figganigga!!
Ehhh hii ni thread ya ukoo...:smile-big:Huyu Cantalisia ni mke wa ndoa wa Rejao. Cantalisia ni mtoto wa baba yangu mkubwa yaani Cantalisia ni dada yake Lady doctor na Passion Lady kwa baba mkubwa. Ntakua nawatambulisha mmoja mmoja bado mwingine hajaja Angel Msoffe. Mia
Huyu Cantalisia ni mke wa ndoa wa Rejao. Cantalisia ni mtoto wa baba yangu mkubwa yaani Cantalisia ni dada yake Lady doctor na Passion Lady kwa baba mkubwa. Ntakua nawatambulisha mmoja mmoja bado mwingine hajaja Angel Msoffe. Mia
We nawe huachi..Si niko pembeni yako hapa...Sitaki kumwaga mchele kwenye kuku wengi...Njoo nitakunongoneza sikioni...:smile-big: Sogea karibu..