Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Mamndenyi sina hamu na wazungu mie Kha!!!!!!Ya mzungu yakaishaje?
wabongo ndo safi sana asikudanganye madame b
Bado nipo nipo...sema bana.........,
Wapi nitaficha uso wangu kwa aibu unayo nitia?. wewe kila jogoo unaye muona wataka awe wako. Maisha hayaendi hivyo. Vin Diesel ndo nani? Mimi naona tuvunje uhusiano wetu ili uwe huru kuongea, kulala, kutoka na kugawa ua lako kwa yoyote umtamaniye. Umenidhoofisha sana. Mia
CC:
Lady doctor, Baba V, Slave, Passion Lady, Arushaone. Mia
we kaka nawe, mkeo asipo tongozwa unalalamika umeoa mke mbaya na akitongozwa unalia eti ni kiluka njia.... Heaven on earth wala hatembei nao kwa taarifa yako huwa anawadanganyaga tu
sema wewe kiazi nikisema mie muhogo naonekana mapepe
wii wangu wewe ndie unaenijua ndani na nje
wii we shaka ondoa kaka angu kukuacha hatoweza labda mimi sio ndugu yake
mimi49 nimekupm umeona?
maneno kuntu......,nakupenda wii
Lady doctor wii wako kiaje?