The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,708
umasikini hapa TZ umeletwa na siasa ya Ujamaa na kujitegemea, Mafisadi, mahakam kuu kutokuwa huru, kutaifisha mali za matajiri, na sera mbovu za kuchukia nchi Tajiri! Kwa nini siku hizi kuna hati miliki na sehemu za kurecodia muziki? Yanga na simbo zinaendeshwa kibiashara na kutoa ajira kwa vijana nzuri tuu, serikali haiingirii kuwafukuza makocha vilabuni kama walivyofanya kwa Tambwe Leya na Nabi Camara, watu wanaruhusiwa kuwa na mishahara miwili,kuboresha movies za kikwetu ambazo at list husaidia viaja wengi kujipatia pesa. Sasa kwa nini Ujamaa na kjtgmea ulikuwa hautaki haya yafanyike kwa wananchi? Yaani vitu hizi vimesaidia sana kuwapa kipato raia wetu.Hakuna aliyemzuia kupumzika yeye na familia yake hata kwa katiba ya sasa. Cha msingi watumishi wa umma wafanye kazi hadi saa 10.30 jioni halafu warudi nyumbani wakapumzike. Mimi huwa nafanya kazi Jumatatu hadi Jumapili, lakini pia huwa napumzika Jumatatu hadi Jumapili.
Mambo ya kufikiria kulala kwenye majamvi misikitini siku nzima ndio yanayotuletea umasikini
mungu alipumzika siku ya jumapili ..... period
don't head against nature
umasikini hapa TZ umeletwa na siasa ya Ujamaa na kujitegemea, Mafisadi, mahakam kuu kutokuwa huru, kutaifisha mali za matajiri, na sera mbovu za kuchukia nchi Tajiri! Kwa nini siku hizi kuna hati miliki na sehemu za kurecodia muziki? Yanga na simbo zinaendeshwa kibiashara na kutoa ajira kwa vijana nzuri tuu, serikali haiingirii kuwafukuza makocha vilabuni kama walivyofanya kwa Tambwe Leya na Nabi Camara, watu wanaruhusiwa kuwa na mishahara miwili,kuboresha movies za kikwetu ambazo at list husaidia viaja wengi kujipatia pesa. Sasa kwa nini Ujamaa na kjtgmea ulikuwa hautaki haya yafanyike kwa wananchi? Yaani vitu hizi vimesaidia sana kuwapa kipato raia wetu.
[/COLOR]
Easly so damn easy!Step back to where you belong! Go and a get a handgun from wher you hides it,kill yaself to make sure you have taken yr own life. You will meet your maker, to whom he had sunday as a day off 4 u&me.Proove it!
Hakuna aliyemzuia kupumzika yeye na familia yake hata kwa katiba ya sasa. Cha msingi watumishi wa umma wafanye kazi hadi saa 10.30 jioni halafu warudi nyumbani wakapumzike. Mimi huwa nafanya kazi Jumatatu hadi Jumapili, lakini pia huwa napumzika Jumatatu hadi Jumapili.
Mambo ya kufikiria kulala kwenye majamvi misikitini siku nzima ndio yanayotuletea umasikini
Proove it!
hahahahahahaha, aende somalia.
Tubadilishe na kalenda hii ya sasa ni ya kikristo..ni muda wa kutumia ya kiislamu sasa