Kasema yote kaacha ile iliyo kuu [emoji16]Hii ndio mwisho wa reli
[emoji16][emoji16][emoji16] na yakutolea nmecheka sananaaaam shehe tena iwe na chenji ya kutolea
mkuu umeua
Itabid aedit iwe juuHio ndio namba 1
Kasema yote kaacha ile iliyo kuu [emoji16]
11. Wanawake wanapenda ile sms ya 6GS82L4SS Imethibitishwa Umepokea Tsh.....
Wewe ndio unatujua. Lakini hivi wewe huipendi?11. Wanawake wanapenda ile sms ya 6GS82L4SS Imethibitishwa Umepokea Tsh.....
Hii hata wanaume tunaipenda
Mada n ya kuhusu wanawake, wanaume tunatumiwa na nani hyo miamala? Sisi ndio watumaji wakuuWewe ndio unatujua. Lakini hivi wewe huipendi?
Hivi nikweli hamuwezi kutunza criWewe ndio unatujua. Lakini hivi wewe huipendi?
Mimi naweza sijui wengineHivi nikweli hamuwezi kutunza cri
Yaaan moyo umelia paaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa mambo ya muamala....11. Wanawake wanapenda ile sms ya 6GS82L4SS Imethibitishwa Umepokea Tsh.....
Acha kabisa mkuu yaaan SMS ya mpesa inaponya magonjwa sugu yote....13.Wanawake wengi Wa Tanzania hutabasamu Zaidi akiwa Anakula chipsi Kuku, Tena hucheka zaidi akiona meseji ya imethibitishwa umepokea kiasi,,,,,,,,,,,,,,,,, kutoka kwa,,,,,,,,,,,
Hii siku hizi ndo inaongoza [emoji23][emoji23][emoji23]11. Wanawake wanapenda ile sms ya 6GS82L4SS Imethibitishwa Umepokea Tsh.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we noma11. Wanawake wanapenda ile sms ya 6GS82L4SS Imethibitishwa Umepokea Tsh.....
[emoji23][emoji23][emoji23] unapenda ehYaaan moyo umelia paaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa mambo ya muamala....
Eeee adi mapigo ya moyo yalichange....[emoji23][emoji23][emoji23] unapenda eh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleEeee adi mapigo ya moyo yalichange....