Ijue tofauti kati ya binadamu anayefariki leo na yule atakayefariki baada ya karne moja ijayo

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
496
Habarini wakuu..
Leo ninataka sote kwa pamoja na kwa hoja za maana tuzijadili sababu za kiinteligensia juu ya maisha ya binadamu wa karne hii na karne zijazo.
Kama mada tajwa hapo juu.
Natanguliza sababu na mawazo yangu..
1.MAISHA YAJAYO YATAKUWA MAFUPI SANA..
Tukiangalia from begining binadamu walikuwa wakiishi maisha marefu namaanisha umri mrefu sana.
Swali ninalolileta jamvini ni je ni kwa nini kadri kaene zinavyozidi kwenda ndivyo umri huu wa maisha unazidi kupungua.
C.c mshana jr Kiranga @Monstigala
na wengineo
 
Kwenye vitabu vitakatifu kuna watu wametajwa waliishi zaidi ya miaka 900
nikili kwanza kuwa mi ni mkristo but unapojenga hoja kwa kujikita katika imani za kidini hutapata majibu hapa!

kwanza nani kakwambia mwaka kuwa na siku 366 iligundulika enzi za Ibrahim?

walijuaje kuwa mtu ana miaka mia4 wakati hawakuwa na calendar?

yawezekana walihesabu wiki?!! utajuaje?
 
Miaka ya nyuma watu walitumia majira ya mvua za masika
 
Habarini wakuu..
Leo ninataka sote kwa pamoja na kwa hoja za maana tuzijadili sababu za kiinteligensia juu ya maisha ya binadamu wa karne hii na karne zijazo.
Kama mada tajwa hapo juu.
Natanguliza sababu na mawazo yangu..
1.MAISHA YAJAYO YATAKUWA MAFUPI SANA..
Tukiangalia from begining binadamu walikuwa wakiishi maisha marefu namaanisha umri mrefu sana.
Swali ninalolileta jamvini ni je ni kwa nini kadri kaene zinavyozidi kwenda ndivyo umri huu wa maisha unazidi kupungua.
C.c mshana jr Kiranga @Monstigala
na wengineo
Mkuu huu ni umma wa mwisho na ulishatabiriwa umri wa kuishi hvyo hakutotokea tena umma mwingine utakaoishi kama unavyowaza labda huu uliopo kupungua tu kutokana na matumizi madawa na sumu mbalimbali zinazowekwa kwenye vyakula
 
nikili kwanza kuwa mi ni mkristo but unapojenga hoja kwa kujikita katika imani za kidini hutapata majibu hapa!

kwanza nani kakwambia mwaka kuwa na siku 366 iligundulika enzi za Ibrahim?

walijuaje kuwa mtu ana miaka mia4 wakati hawakuwa na calendar?

yawezekana walihesabu wiki?!! utajuaje?
Kama kweli ww ni mkristo inakupasa ubadilike maana nje ya biblia hutapata majibu yoyote ya msingi hata ukipata yatakupelekea kwenye uharibifu maana yatakuwa yanapingana na Mungu

Mfumo wa kuhesabu siku na miezi upo tangu uumbaji ulipoanza japo sasa kama unabii unavyosema wanadamu wamejaribu kubadilisha, moja Mungu aliumba mbingu na vyote vilivyomo kwa siku 6 ya Saba akaibariki na kuitakasa hivyo likahesabika juma moja na ktk biblia inataja mwezi kuwa na siku 30 na haitaji mwezi wowote wenye siku pungufu ama zaidi hivyo kibiblia jumla ya siku za mwaka ni 360 na siku inaanza kila jua linapozama wala sio saa sita usiku

Na siku za kuishi Mungu ndie alizipunguza maana wanadamu akili zao ziliwaza yaliyo maovu tu Mungu akashusha umri hadi miaka 120 na baadae akashusha tena hadi miaka 70
 
unaposema zamani maisha yalikuwa marefu sana ni kwa hoja zipi? au ni kwa ushahidi upi?
mkuu moghasa kwanza asante kwa swali zuri ninaposema zamani maisha yalikuwa marefu namaana kiumri na kwa hoja hizi..
UHAHIDI WA KISAYANSI
1.Carbon 14 dating
Huelezea ni Jinsi gani wanasayansi kuamua
umri wa mabaki fossils kwamba
imekuwa chini ya uso wa
nchi kwa maelfu ya miaka.
Mfano Fuvu la mtu wa kale la Olduvai george

2.Potasium Argo dating
abbreviated K-Ar dating, ni
Njia radiometric dating kutumika katika geochronology na
akiolojia. Ni kwa kuzingatia kipimo cha
bidhaa ya kuoza kwa mionzi
pia inasadikika kuwa hii ni nzuri zaidi hata ya Carbon dating
Zipo nyingi zaidi ila nimeelezea kwa ufupi ambazo ni common sana.
USHAHIDI WA KINADHARIA
1.The BIBLE
Kama ilivyoelezewa na wana inteligensia hapo juu
Sitaongelea sana hapa maana itazua maswali mengi ila wakuu kama
mshana jr wakipita wataeleweka
 
nikili kwanza kuwa mi ni mkristo but unapojenga hoja kwa kujikita katika imani za kidini hutapata majibu hapa!

kwanza nani kakwambia mwaka kuwa na siku 366 iligundulika enzi za Ibrahim?

walijuaje kuwa mtu ana miaka mia4 wakati hawakuwa na calendar?

yawezekana walihesabu wiki?!! utajuaje?
Mkuu moghasa naomba kuwa specific usipende kuegemea kwenye kitu ambacho wewe mwenyewe unakiri ni upotoshaji
 
Senator jr kwa jinsi mimi ninavyojua carbon 14 hutumika katika dating yaani kugundua ni kwa muda gani masalia ya kiumbe huyu yamekuwepo ( period of existance) na sio kwamba aliishi kwa miaka mingapi!

na pia sikuegemea kwenye biblia ila ninachojaribu kusema ni kwamba, zamani na sasa umri ni uleule.
hakuna binadamu aliyeishi zaidi ya myaka 150!
kwa ushahidi wa kibiologia seli za mwili huzalishwa kwa,kiwango kidogo sana unapofikisha miaka 70 na kuendelea!

Kitendo hicho kinasababisha mzee kushambuliwa na magonjwa hivyo kufikisha miaka 150 huwa ni ndoto!

mkuu Senator jr hakuna namna utakayofanya uishi miaka mingi!!!

unless otherwise una mwili wa mwendokasi!
 
Asian old man

"My grandchildren are dead there for years. Death has forgotten me "
Mahashta Mûrasi is an Indian who claims to be born in 1835. He is not only the oldest man in the world but also the man who lived the longest since the history of mankind (according to the Guinness World Records ).According to the information transmitted, the man was born in Bangalore on January 6 1835.In 1903, he lived in Varanasi, where he worked till 1957,then his retired at 122 year.According to WorldNewsDailyReport.com all official documents to identify this man support his version.My grandchildren have died there a few years, "said Mûrasi." In a way, death has forgotten me. And now I have lost all hope to die! "
 
Kama kweli ww ni mkristo inakupasa ubadilike maana nje ya biblia hutapata majibu yoyote ya msingi hata ukipata yatakupelekea kwenye uharibifu maana yatakuwa yanapingana na Mungu

Mfumo wa kuhesabu siku na miezi upo tangu uumbaji ulipoanza japo sasa kama unabii unavyosema wanadamu wamejaribu kubadilisha, moja Mungu aliumba mbingu na vyote vilivyomo kwa siku 6 ya Saba akaibariki na kuitakasa hivyo likahesabika juma moja na ktk biblia inataja mwezi kuwa na siku 30 na haitaji mwezi wowote wenye siku pungufu ama zaidi hivyo kibiblia jumla ya siku za mwaka ni 360 na siku inaanza kila jua linapozama wala sio saa sita usiku

Na siku za kuishi Mungu ndie alizipunguza maana wanadamu akili zao ziliwaza yaliyo maovu tu Mungu akashusha umri hadi miaka 120 na baadae akashusha tena hadi miaka 70

Unaposoma biblia zingatia kuwa unasoma kitabu kilichoandikwa kwa kuzingatia mila na desturi za kiarabu!

unaposoma utamaduni wa waarabu zingatia pia matumizi ya namba na maana zake!!

mfano katika biblia kuna matumizi ya namba 40 mara nyingi sana

utumwani misri miaka 40 mara 10
waisrael jangwani miaka 40
waisrael waliofika israel toka misri elfu 40
Yesu akafunga jangwani siku 40
roho mt. alishuka baada ya siku 40 baada ya ufufuko.

matumizi ya 40 katika fasihi ya kiarabu ina maana kwamba " Ni kipindi kirefu cha wakati kati ya tukio moja katika historia na tukio jingine "

Rejea "siku za mwizi ni 40 "
hii ni nahau ya kiswahili yenye asili ya kiarabu.

ikiwa haina maana kwamba mwiz siku ya 40 lazima akamatwe!!
ila, hata kama utaiba siku alfu, ipo siku utakamatwa!
athari hizi za matimizi ya namba ni pamoja na namba 3 na namba 7.

pia utamaduni huu hauishii hapo bali utamaduni wa kiarabu na mtazamo wa mwanamke kama kiumbe duni na mnyonge unaonekana ndani ya biblia na upo uarabuni pia hadi leo.

Tunaona mwanamke hana mamlaka sana ndani ya biblia ila kwa kiwango kidogo sana (rejea Esta) . mwanamke yupo kimya! MTAZAMAJI ASIYE HAKI.
Wana wa yakobo walikuwa 13 (akiwemo Dina) lakin tunatajiwa 12 tu wa kiume.

Maria Magdalena baada ya kupona kupigwa mawe baada ya kuzini na kukamatwa( utamaduni wa kiarabu pia) alikuwa mfuasi mzuri sana wa yesu, na aliambatana nae kila mahali alipoenda yesu ( rejea : nyumbani kwa zakayo na ufufuko wa yesu "alikuwa wa kwanza kuwasili kaburini " )

Yote hayo yapo ndani ya biblia na kumbuka.

"USOMAPO BIBLIA ZINGATIA MAANA YA NAMBA KWA UTAMADUNI WA WAARABU "
 
Habarini wakuu..
Leo ninataka sote kwa pamoja na kwa hoja za maana tuzijadili sababu za kiinteligensia juu ya maisha ya binadamu wa karne hii na karne zijazo.
Kama mada tajwa hapo juu.
Natanguliza sababu na mawazo yangu..
1.MAISHA YAJAYO YATAKUWA MAFUPI SANA..
Tukiangalia from begining binadamu walikuwa wakiishi maisha marefu namaanisha umri mrefu sana.
Swali ninalolileta jamvini ni je ni kwa nini kadri kaene zinavyozidi kwenda ndivyo umri huu wa maisha unazidi kupungua.
C.c mshana jr Kiranga @Monstigala
na wengineo

Tafiti zinaonyesha kuwa, umri wa kuishi unaongezeka na sio kupungua...., hali ya huduma ya afya ipo juu sana duniani watu sasa wanaishi muda mrefu zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya dunia (in average). Hata Tanzania umri wa kuishi umeongezeka sana
 
Tafiti zipi mkuu
 
Hakuna ubishi kwamba kadri tunavyoenda mbele na umri wa kuishi wa viumbe ulimwenguni unapungua. Na sio umri tu wa kuishi unaopungua hata maumbile wa wanadamu wa zamani na wa sasa ni vitu viwili tofauti, kipindi cha nyuma watu walikuwa na miili mikubwa sana (mfano: Mwanafalsafa wangu Arstotle alikuwa na mwili 'nyumba', Sio hivyo tu jamaa aliyegundua Microscope jina limenitoka kwa kumuangalia tu utadhani unaangalia movie za superman walikuwa wakubwa kweli bado sijazungumzia walioishi karne nyingi kabla yao). Tunapaswa kufahamu dunia ya kipindi kile kila kitu kilikuwa 'fresh' kwa kiwango kikubwa kuanzia hali ya hewa mpaka vyakula mambo yalianza kubadilika na hata baadhi ya viumbe vilishindwa kustamihili hali hiyo na vikapotea kabisa.. Na dunia ya leo almost of all what we eat and what we inhale is completely poisonous and it is scientifically proved!! Ukuaji wa teknolojia nao umechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza umri na maumbile ya watu kwa asilimia kubwa sababu asilimia ya vitu vingi tunavyolisha miili yetu ni artificial (mfano - Unga wa Sembe) nafikiri mtoa mada una haki ya kuuliza na kujiuliza ulichouliza
 
Kama kweli ww ni mkristo inakupasa ubadilike maana nje ya biblia hutapata majibu yoyote ya msingi hata ukipata yatakupelekea kwenye uharibifu maana yatakuwa yanapingana na Mungu

Mfumo wa kuhesabu siku na miezi upo tangu uumbaji ulipoanza japo sasa kama unabii unavyosema wanadamu wamejaribu kubadilisha, moja Mungu aliumba mbingu na vyote vilivyomo kwa siku 6 ya Saba akaibariki na kuitakasa hivyo likahesabika juma moja na ktk biblia inataja mwezi kuwa na siku 30 na haitaji mwezi wowote wenye siku pungufu ama zaidi hivyo kibiblia jumla ya siku za mwaka ni 360 na siku inaanza kila jua linapozama wala sio saa sita usiku

Na siku za kuishi Mungu ndie alizipunguza maana wanadamu akili zao ziliwaza yaliyo maovu tu Mungu akashusha umri hadi miaka 120 na baadae akashusha tena hadi miaka 70
Siku inaanzia na kuishia wapi?
 
Hakuna ubishi kwamba kadri tunavyoenda mbele na umri wa kuishi wa viumbe ulimwenguni unapungua. Na sio umri tu wa kuishi unaopungua hata maumbile wa wanadamu wa zamani na wa sasa ni vitu viwili tofauti, kipindi cha nyuma watu walikuwa na miili mikubwa sana (mfano: Mwanafalsafa wangu Arstotle alikuwa na mwili 'nyumba', Sio hivyo tu jamaa aliyegundua Microscope jina limenitoka kwa kumuangalia tu utadhani unaangalia movie za superman walikuwa wakubwa kweli bado sijazungumzia walioishi karne nyingi kabla yao). Tunapaswa kufahamu dunia ya kipindi kile kila kitu kilikuwa 'fresh' kwa kiwango kikubwa kuanzia hali ya hewa mpaka vyakula mambo yalianza kubadilika na hata baadhi ya viumbe vilishindwa kustamihili hali hiyo na vikapotea kabisa.. Na dunia ya leo almost of all what we eat and what we inhale is completely poisonous and it is scientifically proved!! Ukuaji wa teknolojia nao umechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza umri na maumbile ya watu kwa asilimia kubwa sababu asilimia ya vitu vingi tunavyolisha miili yetu ni artificial (mfano - Unga wa Sembe) nafikiri mtoa mada una haki ya kuuliza na kujiuliza ulichouliza
Nilikua napitapita mahali nikaona vijumba vya mapolisi vilivyojengwa miaka ya nyuma ni vidogo kama vyoo au vibiriti lakini ukiangalia zinazojengwa hivi sasa ni kubwa ukilinganisha na za wakati ule.
Sasa najiuliza hivi ni kwamba watu wanazidi kuongezeka ukubwa wa maumbile au ni kitu gani.
 
Back
Top Bottom