Ijue siri kuu ya mahusiano katika Ulimwengu wa Roho

Mkuu
Kuna madhara yapi kiroho ukilala na mwanamke mchawi Bila ya wewe kilijua Hilo. Na si Mara moja Wala Mara tano
 
Mkuu
Kuna madhara yapi kiroho ukilala na mwanamke mchawi Bila ya wewe kilijua Hilo. Na si Mara moja Wala Mara tano
Hapa swali ni je, ni mke wako wa ndoa? Kama sio ujue tu umejikabidhi nafsi yako mkononi mwake, naye aweza kukutenda atakavyo. Mchawi hatafuti mwili, bali NAFSI kwa sababu ndio mtu hai!!

“Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai;mtu akawa nafsi hai.”

Mwanzo 2:7

Kwa hiyo, ile nguvu ya hisia ndio nafsi yako, ukiiweka ndani ya mwanamke mchawi aweza kukutenda vibaya sana. Ni wiki hii nimetoka Tabora kumwona mzee mmoja ambaye akiwa karibu na kustaafu alihamia huko toka Mwanza, akakutana na mama mmoja mitaa ya Kanyenye. Yule mama alimfanya aisahau familia yake, ni miaka zaidi ya kumi sasa anakataa hana mke zaidi ya hilo limama.

Historia ya huyo mama, amewahi kuishi Misha, nje kidogo ya mjini Tabora, ni mchawi anayejulikana na wote, aliwahi kupitiwa na lambalamba wanakijiji wakamchomea nyumba akakimbikia Lolanguru. Baada ya miaka miwili karudi Tabora mjini akakutana na huyu mzee. Sasa mzee kainamishwa mpaka amegoma kabisa kuitambua familia yake ya watoto 11.

Kachukua pension yote kamjengea huyo mama nyumba 3, afu huyo mama kamgeuza shamba boy licha ya uzee wake. Anagonga majaruba ya mpunga kama vile hana akili nzuri licha ya uzee wake. Sio tu ukae mbali na mwanamke mchawi, kas mbali kabisa na UZINZI. Utalipa gharama kubwa mno na itakuwa vigumu sana kukutoa kwa sababu umejiingiza kwenye maagano bila kujua. Vobinti vingi siku hizi vimegeuka vya shirikina, ndio maana biashara ya uganga wa kienyeji imeshamiri kwelikweli huku wateja wakubwa wakiwa wanawake. Hawara atakuroga ili kupata mali zako, lakini ni lazima wakukamate nafsi yako katika ulimwengu wa roho kwanza uwe mateka, ndipo uipate fresh. Mke naye akiona haueleweki anakwenda kwa waganga kupindua mrza, utabaki salama wewe? Lazima uwe taahira, utaishi kama mashetani!! Kaa mbali ni uzinzi mkuu kwa faida yako na familia. Uzinzi una raha ya muda mfupi sana, lakini spana zake usizichezee kabisa.
 
Najaribu kuwaza limit ya mnyama kufikiri kama binadamu ndo inahitimisha kuwa yupo programmed? Na binadamu ambaye hana akili timamu anakuwa kundi lipi? Nimetamani kuelewa hiyo tofauti.

Ni kweli mnyama tofauti yake kuu ni katika jinsi ya kupangilia mambo, kwamba anaongozwa na instinct. Mfano Simba hawezi kuwaza aue swala wengi ili akaushe na kuhifadhi nyama kwa siku zijazo, bali atatafuta nyama pale tu ANAPOHISI NJAA.

Binadamu asiye na akili timamu huyo ni mateka wa ulimwengu wa roho. Mungu aliumba kila kitu chema. Sasa jiulize ni wakati gani mtu anaanza kubadilika hatimaye kuwa kichaa kamili? Je ni pale anapotoka tumboni mwa mama yake, ama ni miaka kadhaa baadaye? Ni kwamba kichaa ni mwanadamu aliyegeuzwa kuwa nyumba ya mapepo, nafsi yake imewekwa mateka na hivyo hana ufahamu binafsi.

Marko 5

¹ Wakafika ng'ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerasi.
² Na alipokwisha kushuka chomboni, mara alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, mwenye pepo mchafu;
³ makao yake yalikuwa pale makaburini; wala hakuna mtu ye yote aliyeweza kumfunga tena, hata kwa minyororo;

⁹ Akamwuliza, Jina lako nani? Akamjibu, Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tu wengi.

Huyu alikuwa kichaa kabisa akiishi makaburini hata watu wakaiogopa njia ile. Hivyo ukiona kichaa si haki kabisa kumpiga kwa matendo yake kama wafanyavyo watu wengine. Nafsi yake iko mateka na mapepo ndio yanayoendesha mwili wake.
 
OK mkuu.
 
Ukifanya uasherati hakuna agano lolote unalojifunga nalo, dhahidi tu utakua umevunja amri ya Mungu.
Wala uzinzi hauna mahusiano hat kidogo na utajir wa mtu.
Vifungu vya bible vyote naona umeeleza kwa mapokeo yako tu.
 
hapo ndo unaona hii maada haitawaingia watu akilini pamoja na mimi!! mimi sijawahi piga bikra mpaka leo hii!! unajua mtu akishaingia kwenye mambo ya kiimani huwa namtizama tu!! Maana ni vitu vya sirini sana ambaye ajuaye ni Mungu tu.
Pole sana mkuu, lakini mada bado inaendelea. Hilo ni eneo moja tu, kuna eneo la rehema. Huwezi kujutana na bikira kama wenyewe sio mwenye mwenendo huo. Utaendelea "kupiga" hao hao wa jinsi yako. Chuma hunoa chuma, bikira hapatikani kwenye ukahaba. Zingatia hilo
 
Ukifanya uasherati hakuna agano lolote unalojifunga nalo, dhahidi tu utakua umevunja amri ya Mungu.
Wala uzinzi hauna mahusiano hat kidogo na utajir wa mtu.
Vifungu vya bible vyote naona umeeleza kwa mapoke yako tu.
Asante
 
Ndo ushangae na wew.
Hayo mapokeo yake mie nimepinga.
Kakosea akasome upya tu.
Wewe ulipanga kupinga, huna hoja. Mada inaendelea na ukiwa mpole utajifunza mengi. Unadhani Yesu aliposema mke asiachwe isipokuwa kwa uasherati (porneia) alimaanisha nini? Soma mathayo 19 unijibu.

Fahamu mada ni ndefu sana, inaendelea mpaka kwa wanaomjua Kristo wakiwa wamejiingiza kwenye uzinzi. Kuna rehema, tulia mkuu.
 
Nikiwa darasa la saba mjini bagamoyo ndio nilianza kuskia story za punyeto, nikiwa sijui maana yake..

Lakini baada ya kuingia secondary nilijaribu siku moja maana ilikua boarding so kupata wanawake ilikua issue .. Nilianza mara moja moja hadi nilipomaliza form four..

Baada ya kuingia mtaani ndio nikazidisha hadi nikawa addicted, ikawa mateso kwangu na kuacha nikawa siwezi nikijikaza sana nimemaliza mwezi.. Baadae nasema bora hii kuliko dhambi ya kuzini naendelea..

Nilijitahidi sana kuacha bila mafanikio kuambia mtu naona aibu so nikabaki nalo Rohoni

Finally kwa mkono wa chuma Yesu akaniokoa.. Nikaokoka mwezi wa mwezi wa 12/2018
Tokea hapo sijawahi kutamani wala kuhisi uhitaji wa jambo hilo hata leo nashangaa mno maana niliangaika sana kuacha bila mafanikio..

Nimalizie kwa kusema sijajua njia nyingine za kuacha punyeto ila mimi niliacha kwa njia hiyo...

Na vingine nilivyokua nashindwa kuacha..
HAKIKA YESU NI MKUU SANA SIJAWAI ONA..
NIISHIE HAPO
 
Barikiwa mkuu. Punyeto ni hatari kwa ustawi wa kimwili na kiroho. Jiulize neno hili: kwa nini shahawa zikaitwa mbegu? Tunaiona mada hii hivi karibuni
 
Ukifanya uasherati hakuna agano lolote unalojifunga nalo, dhahidi tu utakua umevunja amri ya Mungu.
Wala uzinzi hauna mahusiano hat kidogo na utajir wa mtu.
Vifungu vya bible vyote naona umeeleza kwa mapoke yako tu.
Ukitaka mjadala na mimi uje na vifungu na maelezo ya kutosha. Ulijitambulisha kuwa ni mkristo, tena unaielewa vema Biblia. Nikuulize neno jepesi tu: tuelezee uumbaji wa Mungu kwa Adam na Hawa, fafanua kwa kina mpangilio wa uumbaji mpaka kufikia kwa Hawa ukianza na Adamu. Bila hilo huwezi kujua nguvu ya uumbaji iko vipi na baraka zinakuja vipi. Nasubiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom