Ijue siri kuu ya mahusiano katika Ulimwengu wa Roho

Kuna bikra tatu zinanisumbua zinataka niwe nao, je nikitoa zote itakuwa ni makosa? Maana hao mabint wote wananitaka..
 
Shukuran kwa kunifungua
Hapa swali ni je, ni mke wako wa ndoa? Kama sio ujue tu umejikabidhi nafsi yako mkononi mwake, naye aweza kukutenda atakavyo. Mchawi hatafuti mwili, bali NAFSI kwa sababu ndio mtu hai!!

“Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai;mtu akawa nafsi hai.”

Mwanzo 2:7

Kwa hiyo, ile nguvu ya hisia ndio nafsi yako, ukiiweka ndani ya mwanamke mchawi aweza kukutenda vibaya sana. Ni wiki hii nimetoka Tabora kumwona mzee mmoja ambaye akiwa karibu na kustaafu alihamia huko toka Mwanza, akakutana na mama mmoja mitaa ya Kanyenye. Yule mama alimfanya aisahau familia yake, ni miaka zaidi ya kumi sasa anakataa hana mke zaidi ya hilo limama.

Historia ya huyo mama, amewahi kuishi Misha, nje kidogo ya mjini Tabora, ni mchawi anayejulikana na wote, aliwahi kupitiwa na lambalamba wanakijiji wakamchomea nyumba akakimbikia Lolanguru. Baada ya miaka miwili karudi Tabora mjini akakutana na huyu mzee. Sasa mzee kainamishwa mpaka amegoma kabisa kuitambua familia yake ya watoto 11.

Kachukua pension yote kamjengea huyo mama nyumba 3, afu huyo mama kamgeuza shamba boy licha ya uzee wake. Anagonga majaruba ya mpunga kama vile hana akili nzuri licha ya uzee wake. Sio tu ukae mbali na mwanamke mchawi, kas mbali kabisa na UZINZI. Utalipa gharama kubwa mno na itakuwa vigumu sana kukutoa kwa sababu umejiingiza kwenye maagano bila kujua. Vobinti vingi siku hizi vimegeuka vya shirikina, ndio maana biashara ya uganga wa kienyeji imeshamiri kwelikweli huku wateja wakubwa wakiwa wanawake. Hawara atakuroga ili kupata mali zako, lakini ni lazima wakukamate nafsi yako katika ulimwengu wa roho kwanza uwe mateka, ndipo uipate fresh. Mke naye akiona haueleweki anakwenda kwa waganga kupindua mrza, utabaki salama wewe? Lazima uwe taahira, utaishi kama mashetani!! Kaa mbali ni uzinzi mkuu kwa faida yako na familia. Uzinzi una raha ya muda mfupi sana, lakini spana zake usizichezee kabisa.

Nyerere Asante kwa kunifungua, nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Dada mmoja mrembo tu.
Nimekuja kujidhihirishia kuwa Ni mchawi na kaurithi kwa marehemu Mama yake.
Naweza nikakaa kwake week nzima, lkn anaweza kunilala nje na nikajua, nikakasirika kwa siku ya kwanza nakufikiria kumuacha lkn siku ya pili nazidisha mapenzi. Mimi nataka nivunje hi bond ya kiroho na anajua kanishika .
 
Mkuu ni kama kwamba keshakubana tayari. Hapo mkuu inabidi kutafuta nguvu ya juu ya kiroho ili kuweza kurekebisha hali hiyo. Kwamba kama wewe ni muumini inabidi ufanye toba na uombe mbingu ziingilie kati. Nitaandika zaidi muda kidogo. Lakini nikikupa mfano mwingine hai kabisa, yuko SHANGAZI YANGU ambaye anaishi Mbagala. Yaani huyu ana spana za kishenzi kweli. Amemkamata jamaa mmoja mpaka kamjengea nyumba na wanaishi wote. Sasa huwa analeta wanaume na kukaa nao ndani kabisa huku mume akifanya kazi za ndani. Anawaandalia chai nk. Majirani wamewahi kukasirishwa na tabia ya shangazi wakamwambia mume. Ajabu jamaa aliingia ndani, akafungulia redio kwa sauti kubwa akaweka taarabu kuwakashifu. Basi washamwacha hivyo hivyo. Mara ya mwisho kusikia habari zake, alikuwa na wanaume wawili WALIOMWOA kama ni mdogo (hawajuani) akiwepo mwarabu mmoja anayemjengea bungaloo. Sasa ndio ujue usipokuwa makini kudhibiti hisia za ngono, utajutia maisha yako duniani. Jitoe huko, INAWEZEKANA.
 
Nyerere Asante tena,
Pia kiroho kinatokea Nini unapomwingilia mwanamke na kumwagia mbegu zako ndani mwake, na sio nje Kama kwenye kiuno au juu ya papauchi. Mbegu zikimuingia mkiwa kwenye mapenzi kiroho zina effect gani.
Usione nakusumbua boss
 
Hapo unaweza danja ghafla
 
*************************
SEHEMU YA NNE
*************************

NGUVU YA SOULTIE (si wawili tena)

Mke na mume wakiwa sawa mbele za Mungu, muunganiko wao hutengeneza nafsi moja. Kwa hiyo mbele za Mungu kila jambo linalofanywa na mkono wa kushoto ni lilelile linalokubalika na mkono wa kulia. Huwezi kusema mkono wa kushoto unataka kufungua mlango huku mkono wa kulia unapinga. Sababu ni kuwa viungo vyote source yake ni moja tu, ila tofauti ni uwezo wa majukumu. Mwingine atasema mkono wake wa kushoto una nguvu, mwingine atasema mkono wa kulia, lakini mwili ni mmoja.

Anayeamrisha mkono wa kulia ndiye huyo huyo anayeamrisha mkono wa kushoto. Kwa hiyo, nafsi inayomwongoza mke ndio hiyo hiyo inayomwongoza mume. Tofauti na aina ya majukumu na si kukinzana kwa amri. Sasa kama ndivyo, wawezaje mkono kupeleka maombi yake kwa siri kwenye ubongo pasipo mkono wa kulia kufahamu? Ndivyo ilivyo kwa mke na mume. Mke awezaje kumlilia Mwenyezi Mungu pasipo mume kujua? Mume naye awezaje ikiwa nafsi yao ni moja? Ndio maana tunaongelea KUWA NA NIA MOJA ili kuweza kupeleka hoja za nguvu.

Mke na mume wakishibana mmoja akipata tatizo, wote wanaumia, mmoja akiugua wote huwa wagonjwa, mke akipata mimba mume anapata kichefuchefu nk. Hiyo ndio nguvu ya soul tie.

Nguvu ya tendo la ndoa

Tendo la ndoa ni muunganiko wa mwili na roho kati ya mke na mume ambao tayari ni nafsi moja. Hili ni tendo la kukumbuka tukio la uumbaji ambapo Mungu aliumba mtu mume akampulizia roho moja ambayo ilikuwa ni Adam na Hawa. Baada ya kuwatenganisha ndipo tukawa mwanamke na mwanamume tofauti. Sasa roho ya mke hutafuta kuirudia roho ya mwanamke ili kukamilisha nafsi. Hili ni somo zuri sana ambalo huweka wazi namna Mungu alivyofanya uumbaji wake na kujua asili ya mvutano wa kimapenzi. Tuendelee na mada....

Umewahi kujiuliza ni kwa vipi binti akampenda mvulana kiasi hata wazazi wakiingilia kati kuwatenganisha hutishia kujidhuru? Wengi wanasema binti ama mvulana kachanganywa na mapenzi. Ukweli ni kuwa kuna jambo lililofanyika katika ulimwengu wa roho. Kama sio ushirikina umetumika kuiteka nafsi, basi ni soul tie. Ndipo wanaume wengine hutamba kabisa, huyu binti hata akija kuolewa hana ujanja juu yangu, nitalala naye kila ninapotaka, halafu kweli inakuwa hivyo!! Hawa wanaweza kutengana kadri wanavyozidi kuingiza nafsi nyingine ndani, kisha mahaba haya hubaki kama kumbukumbu nzuri akilini mwao (wanajenga hali ya emotional blur).

Je umewahi kuona mwanamume, kwa sababu ya wingi wa mali zake akaamua kupora mpenzi wa mtu mwingine na kumfanya mke? Huyu ni mjinga kabisa asiyeelewa ni jinsi gani utajiri wake utatumika kumlea huyu kijana mwenye soul tie!! Kile kivuli kilichomo ndani ya mwanamke huyu kitakuwa kikiamka mara kwa mara na kumwamuru asimzuie kitu mwenza wake (aliye rohoni). Mume bandia hugeuka mshika mapembe huku maziwa akifaidi mwingine. Nguvu ya soul tie hupofusha hata mke yuko tayari kuvunja ndoa yake na kuharibu maisha mazuri anayoishi na mume bandia kwa sababu ya msela mmoja!! Hiyo ndiyo soul tie, jihadhari usijeingia kwenye mtego huo hatari!!

Hatari ya soul tie

Sasa hakuna jema lisilo na madhara. Tayari tushaona jinsi gani muunganiko huu unaweza kupelekea hata ndoa kuyumba. Lakini si hayo tu, soul tie ni nguvu ya hatari pia kama wapenzi wawili hawatakuwa na kujizuia.

Mwanamke ndiye aliyebeba sura yote ya mwanamume ndani yake, hivyo aweza kutumia mwanya huo kumuumiza mwanamume. Mfano mwanamke aweza kujiapiza kuwa, kama umeingiza tupu yako ndani yangu, ukakojoa humu, basi hutokuwa na amani hata ukipata mwanamke mwingine yeyote. Mwanamke huyu kama kweli ulimkuta katika ujana wake akakushiba, basi mwanamume utaishi kwa kutangatanga bila malengo. Utashangaa haudumu na mwanamke yeyote yule.

Au umewahi kusikia wazazi hulaani? Basi jambo hili wengine huliona kama masimulizi lakini lipo kabisa!! Mama anapokubeba tumboni mwake miezi tisa akakuzaa, basi ujue kivuli chako hubaki ndani yake. Ndio maana mtoto hata awe mvuta bangi, jambazi sugu, teja nk kwa mama atabaki kuwa MTOTO BORA kabisa. Akiwekwa ndani mama atampigania atoke, akiwa na shida yoyote mama aweza kugombana na ndugu wengine ili wamsaidie. Ndio maana ni kutokuwa na maarifa kuanzisha biashara changa halafu ukaweka ndugu zako wa damu waisimamie, kwani siku wakiihujumu, ukawapeleka polisi ili warejeshe walichoiba, mama huapa kutembea uchi kama hujawatoa. SOUL TIE!!!

“Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye.

Mithali 10:1

Baba husimama na mwana mwenye hekima, kwa sababu ndio sifa yake. Hana mambo ya soul tie na watoto, lakini mtoto akiwa mpumbavu tu, baba hajishughulishi naye katu. Mama ndio ataanza kuhangaika mara polisi, mara kwa mjumbe nk.

Sasa mama ili amlaani mwanae huvua nguo na kubaki utupu, kisha humwonyesha uchi wake huku akimwapia, mfano, kama nilikubeba tumboni mwangu miezi tisa, nikashikwa uchungu nikakunya, ukapitia hapa kwenye uchi wangu,....... Hapo mama anaamuru kivuli cha mtoto kilichobaki tumboni mwake ambacho ndicho huleta muunganiko na mwanaye. Jambo hili hutimilika kabisa, hasa kama umemtendea jambo baya na kumsononesha.

Itoshe sasa kusema kuwa, iko sababu kwa nini sio vema hata kidogo kuoa/kuolewa kwenye familia ambayo mama ndio kila kitu. Watoto huwa na muunganiko wa hatari na mama yao, kiasi kwamba lazima atayumbisha ndoa za wanaye vibaya sana!

Kwa upande wa wanaume, hicho kitu ni nadra sana, kwani mtoto wa kike akiwa karibu mno na baba, hata jamii hutilia shaka kwamba huenda ni wapenzi. Lakini hata wakiwa karibu sana basi sio rahisi baba kuingilia ndoa za wanaye, hii ni sekta ya wamama. Mara nyingi ukiona baba anaingilia kati ugomvi wa kawaida tu baina ya binti na mumewe huwa kuna shaka huenda aliwahi kumwingilia akaweka nafsi yake humo. Yaani mpaka binti anageuka agent wa baba kwamba kila mkipishana kauli kidogo tu anampigia simu, na baba naye anakuja kufoka na kutoa vitisho vingi kwa mume. Vinginevyo itakuwa ni kiburi cha nje kama utajiri, kazi nzuri aliyonayo, nafasi yaje serikalini nk.

Kwa upande wa watoto wa kiume, mara baba huwa anasimama upande wa muolewaji, na hii ndio hekima. Ni aibu kubwa kukuta baba na mwana wanamchangia binti mwolewaji kumshambulia kwa matusi. Lakini ni jambo la kawaida mama na Mwana kumvaa binti kwa na sababu kubwa ni mama kuwa rubani wa familia na hivyo watoto wamelelewa hivyo. Mtoto aliyelelewa vyema, hata kama mke amekosea vipi hawezi kamwe kusimama na mama yake wakimtukana na kumpiga. Mwanamume huyu atafanya kila linalowezekana kumtuliza mama kisha atatafuta jinsi ya kusuluhisha mambo. Soul tie inamfanya mama aamini kuwa ana haki ya kuendesha maisha ya wanaye pia na watoto nao wanaamini mama ana wajibu huo!!

Kuishi kama mapepo

Kwa kawaida mapepo huzunguka huku na kule na kukivaa chochote kilichotoa nafasi. Ndivyo alivyo mwanamume ambaye anatembea na wanawake mbalimbali na kuwatenda na kuondoka. Atajiona anaishi sawa lakini kwa sababu ya laana ya wadada aliowaumiza, mambo mengi yatakuwa yanavurugika yakikaribia kufanikiwa. Atakuwa hana kituo maalum, hata wakati akiona mambo yanakaribia kuwa safi ghafla yanaharibika.

Mbaya zaidi ni pale mtu anapofungamana na pepo (spirit). Mfano jini mahaba, haya humvaa mtu mzinzi ama aliyeacha roho yake isiwe na kinga yoyote na kisha kufunga naye soul tie kiasi kwamba hakuna jambo atakalofanya litafanikiwa bila kuliomba na kulitolea kafara. Mwanamke ama mwanamume mwenye pepo wa ngono hawawezi kuwa na ndoa imara. Hata wakifunga ndoa hazidumu, ama waweza kufunga ndoa ikawa kila mimba inaharibika, maana yake yanachukua hizo mimba. Soul tie na mapepo ni hatari zaidi.

Itaendelea........ [/B][/B]
 
Nyerere Asante tena,
Pia kiroho kinatokea Nini unapomwingilia mwanamke na kumwagia mbegu zako ndani mwake, na sio nje Kama kwenye kiuno au juu ya papauchi. Mbegu zikimuingia mkiwa kwenye mapenzi kiroho zina effect gani.
Usione nakusumbua boss

Mkuu, ni rahisi sana kudhani kuwa ili kujikinga na haya yote ni heri mtu asimwage ndani. Lakini ukweli ni kuwa TENDO LA NDOA NI LA KIROHO. Tendo halisi hufanyika kwenye romance na kuamsha hisia, ndipo emotional energy zinapojichochea, mwanamume anampelekea mwanamke emotional energy na mwanamke anazipokea na kulistawisha penzi (man deposits, woman nourishes).

Sasa ngono ikishakamilika rohoni, miili hujibu kwa hisia ambapo wote hushikwa na nyege na kuwakiana tamaa ya kuingiliana. Huku ni kuthibitisha tu muunganiko wa rohoni ambao tayari umeshafanyika. Ndio maana KILA JAMBO HUANZIA ROHONI KWANZA KISHA HUDHIHIRIKA MWILINI.

Kumbe mwanamume anapotoa mbegu (ejaculation), ni matokeo ya emotional energy (hisia), na mwanamke naye hutoa maji maji. Sasa umwage nje ama umwage ndani, hayo ni ya mwilini, rohoni tayari mmeshaungana. Ukimwaga ndani yaweza kuwa mimba ama la, lakini ukimwaga nje utaokoa mimba tu.

Hii ni tofauti kabisa na punyeto, huo ni mtiti mwingine kabisa.
 
Sasa tunaingia kwenye marekebisho, kwani si wote walioijua kweli hii. Wote kabisa wana uwezo wa kurekebisha na kuishi kwa makusudi ya Mungu.

Hapa ndipo tutakutana na UPEPO WA KISULISULI
 
Mkuu, ni rahisi sana kudhani kuwa ili kujikinga na haya yote ni heri mtu asimwage ndani. Lakini ukweli ni kuwa TENDO LA NDOA NI LA KIROHO. Tendo halisi hufanyika kwenye romance na kuamsha hisia, ndipo emotional energy zinapojichochea, mwanamume anampelekea mwanamke emotional energy na mwanamke anazipokea na kulistawisha penzi (man deposits, woman nourishes).

Sasa ngono ikishakamilika rohoni, miili hujibu kwa hisia ambapo wote hushikwa na nyege na kuwakiana tamaa ya kuingiliana. Huku ni kuthibitisha tu muunganiko wa rohoni ambao tayari umeshafanyika. Ndio maana KILA JAMBO HUANZIA ROHONI KWANZA KISHA HUDHIHIRIKA MWILINI.

Kumbe mwanamume anapotoa mbegu (ejaculation), ni matokeo ya emotional energy (hisia), na mwanamke naye hutoa maji maji. Sasa umwage nje ama umwage ndani, hayo ni ya mwilini, rohoni tayari mmeshaungana. Ukimwaga ndani yaweza kuwa mimba ama la, lakini ukimwaga nje utaokoa mimba tu.

Hii ni tofauti kabisa na punyeto, huo ni mtiti mwingine kabisa.

Asante kwa majibu mulua.
 
Mahusiano kati ya watoto na wazazi

Baba ana uhusiano wa mwalimu na mwanafunzi kwa watoto wake. Anawafunza na kuwatiisha pale wanapokosa utii. Ndio maana ni rahisi tu kwake kushika bakora kumuadibisha mtoto. Mahusiano ya mtoto na baba hupitia kwa mama kwani ndiko kumehifadhiwa kivuli cha baba na mtoto pia. Mama akisema kwa baba ni rahisi kueleweka na pia akimwambia kitu mtoto ataeleweka kiurahisi. Sasa uelewe ni kwa nini mtoto anaumia sana mama akiteseka kuliko ilivyo kwa baba. Mtoto atakufa kwa ajili ya mama, mama naye kwa ajili ya mtoto. Kwa hiyo kiunganishi kati ya baba na mtoto kiroho ni mama.

Mama yeye anawabeba wote, baba na mtoto. Ndio maana mke hawezi kuona mume ana tatizo akatulia, yuko radhi hata kutumia mali za kwao kutatua tatizo hilo. Hapa ndipo wengi hudhani mwanamke ni mjinga, si kweli. Mwanamke ni emotional being. Mume akimjaza mke emotional energy basi atamtumia huyo atakavyo. Kilicho cha mwanamke ni chake pia. Hapa ndipo wanaume walioharibika akili hutumia kuwaingiza hata wanawake wenye kuwa na msimamo kwenye mambo ya hivyo kama uvutaji bangi, ulevi, mapenzi kinyume na maumbile nk. Mwanamke atafanya kumfurahisha mume, lakini ukweli ni kwamba anaifurahisha nafsi yake mwenyewe kws saba wamekuwa nafsi moja!!

Watoto wa kambo

Nadhani iko wazi sasa, baba hana shida kwa mtoto wa kambo kama ilivyo kwa mtoto wake mwenyewe. Akioa mke mwenye mtoto, ujue tu kwamba KAOA MKE. Ameungana na mke, hivyo kivuli chake hutembea humo. Mapenzi kwa mtoto wa kambo yatatokana na emotional energy iliyo ndani ya mwanamke. Hivyo ana nafasi ya kumtendea mtoto wa kambo kama vile ni mtoto wa viuno vyake mwenyewe.

Mama kwake ni tofauti kabisa. Hana connection yoyote na mtoto wa kambo. Ndio maana asilimia kubwa ya wanawake huwatendea kwa ukatili watoto wa kambo. Watoto hawa huwa na muunganiko na mama zao wa kuwazaa, hivyo baba ni kama mlezi tu sawasawa na mama wa kambo. Ukiona mama wa kambo anamlea vema mtoto, basi ujue alikuwa katika maadili bora kabisa au hofu ya Mungu imo ndani yake. Lakini pia kama amempenda kweli mume wake, emotional energy yaweza kumfanya ampende mtoto pia, ingawa hili ni mara chache sana.
 
Sawa vip juu ya ahadi ambazo watu uwekeana pindi wanamausiano ama ujauzito?

Nimewai shuhudia kisa kimoja. Binti alipokuwa na ujauzito alikuwa akimuapia mwenza wake kuwa hatotaka mwanao alelewe na mzazi wa kambo, wao pekee ndio wamlee. Lakin baada yakujifungua baba wa mtoto alirudi masomo na kumuacha binti nyumban kwao, kadri mda ulivyozidi kwenda binti alipata vishawishi akaanza kumcheat mwenzie. Kuanzia hapo mtoto alianza kumchukia mama ake had ikafikia hatua yule binti akaolewa na mwanaume mwingne ila alipotaka kumchukua mtoto ake akaishinae yule mtoto alimkataa kabsa mama ake na kubaki kwa bibi ake. Had leo hii hakuna anaejua nn chanzo yule mtoto kumchukia mama yake ana kumpenda baba ake ambae wanaona mara moja moja.

Swali ni vip na kwa baba ake nae akisema aoe, mtoto ata mchukia pia?
 
Similar Discussions

65 Reactions
Reply
Back
Top Bottom