Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Mkuu rakims shukrani Sana kwa kujitoa na kutupa elimu mm Nina swali kdgo nyota yangu ni punda lkni hpo mwanzo nilikuwa naishi na mwanamke mwenye nyota ya simba mambo yangu yalikuwa c haba nilikuwa vzri sana ikaja tukashindwana nikaja pata jiko lingine lkn yeye kazaliwa tarehe 8 September tangu ninekuwa nae ni mtihani sana mambo yamekuwa doro vbya mnoo nimefanya tafiti naambiwa bibie nyota zetu hazipo sawa na haziendani je hili linaukweli wa hizi nyota ztu kutoendana?
 
Vipi kuhusu ndoa ya mtu mwenye nyota ya mapacha na nyota ya Ng'e, Mana naona mmoja anaasili ya maji na mwingine upepo, Rakims
Ndo hii mara nyingi haiwezi kudumu kwa maana Nge hupenda kutawala sawa na Mapacha hapendi kutawaliwa hata kidogo

Rakims
 
Mkuu rakims shukrani Sana kwa kujitoa na kutupa elimu mm Nina swali kdgo nyota yangu ni punda lkni hpo mwanzo nilikuwa naishi na mwanamke mwenye nyota ya simba mambo yangu yalikuwa c haba nilikuwa vzri sana ikaja tukashindwana nikaja pata jiko lingine lkn yeye kazaliwa tarehe 8 September tangu ninekuwa nae ni mtihani sana mambo yamekuwa doro vbya mnoo nimefanya tafiti naambiwa bibie nyota zetu hazipo sawa na haziendani je hili linaukweli wa hizi nyota ztu kutoendana?
Punda na Mashuke ni nyota haziendani mkuu zaidi ya kupotezea muda na kila mtu kuwa na mtizamo wake kimaisha bila kujali wa mwingine ni mtihani kwa wawili hawa kuwa pamoja kwa maana spidi na moto alionao Punda nyota pekee inayoweza kwenda nae ni Mizani

Rakims
 
Nimezaliwa tarehe 2 mwezi wa tano, ningependa kujua nyota yangu.
Na boyfriend wang kazaliwa tareh 19 mwezi wa saba. Je nyota zetu zinaendana?
 
Uchambuzi wa nyota unataka ufasaha wa kueleweshwa na mtu ambaye ni fasihi mzuri katika kuelezea nyota mkuu,

Sio kila mtu anaweza kuelezea nyota yake au kuelezea za wengine kwa ufasaha inataka elimu ili kuweza kuelimishwa

Rakims
Mkuu ungeweka namba ili mwenye Maelezo na shida private akucheki kuna watu wengine hawawezi kuweka majina yao halisi hapa wala ya mama zao wala sehemu walizozaliwa kwa sababu za kiufundi.
Jaribu kuwapa kipaumbele tafadhali.
 
Ufafanuzi tafadhali hapo kwenye ufunguo kwa hiyo nyota ya Punda.

Halafu watu waliozaliwa April 19 & May 25, na April 17 & November 11 wanaenda?
 
Mkuu ungeweka namba ili mwenye Maelezo na shida private akucheki kuna watu wengine hawawezi kuweka majina yao halisi hapa wala ya mama zao wala sehemu walizozaliwa kwa sababu za kiufundi.
Jaribu kuwapa kipaumbele tafadhali.
Unaweza kuwasiliana nami kupitia WhatsApp number 0783930601
 
Rakims
Mpenz wangu ana nyota ya punda 13/04
Mie ninanyota ya mbuzi..nini hatima ya mahusiano yetu..

Tunatofautiana imani...yeye muislam mie mkristo kwangu sio tatizo ila kwa upande wake anahofia familia yake..hili jambo lina muumiza sana

Japo tunapendana na ni mwanamke niliye na hisia nae sana..ushauri mkuu
 
Mkuu haijarishi mnapendana kiasi gani kama nyota haziendani mtaishia kupenda rohoni tu na nje mtakuwa ni wenye kuonyesha maumivu ya mapenzi na kukosa maelewano kila linapoisha hili utaona limeanza hili.

Tukirejea kwa utaalamu nyota ya Punda na Mbuzi ni nyota ambazo haziendani hata kidogo kwa maana ni baina ya mchanga na moto haijarishi vipi kwako atapoa tu na mambo mengi yake yatazima na wewe atakuumiza tu kwa moto wa mahaba aliyonayo.

Ladha ya yake kwa uvumbuzi na majaribio yanaweza yasikurahishe kihafidhina kwako.
Pia elewa ni mtu asiyekuwa na utulivu, yupo moto, mwenye msukumo;
Wakati wewe ni mtumishi mzuri wa mapenzi, umetulia kwa vitendo. na ni mtu mwenye kutaka kutawala mahusiano na hivyo hivyo hivyo yeye pia.
Shida pia huibuka kwenye maswala ya pesa - Kwenye pesa anaonekana ni mwenye matumizi ya kupindukia, hali ya kuwa wewe unakuwa ni mwenye nia ya usalama wa kipesa.

Pia mkiunganika nae kiroho atakuperekesha kwa maana ni mtu anafanya mapenzi na kutaka vitu kukamilika kwa pupa hali itakayokufanya akizidi kwa maswala ya chumbani pia. Kifupi hamna maisha marefu nae. Mtaachana kwa kuumizana

Rakims
 
Shida pia huibuka kwenye maswala ya pesa - Kwenye pesa anaonekana ni mwenye matumizi ya kupindukia, hali ya kuwa wewe unakuwa ni mwenye nia ya usalama wa kipesa.
Mkuu hiki kipengere kwake ni tofauti kabisa..sio mtu wa kupenda pesa na haitaji kabisa nitumie pesa hovyo kwake.

Mkuu tareh 24/12 Herufi ya jina langu la mwanzo ni 'S' ni nyota ya mbuzi au nyota zinabadilika kutokana na jina pia..

Nawasilisha kwako mkuu
 
Back
Top Bottom