Ijue nguvu ya Self Esteem maishani mwako!

Ijue nguvu ya Self Esteem maishani mwako!

asilimia zinashuka timu yako ikifungwa utaanza kujiona ni mtu usiyena thamani au mwenye mikosi hapo itabidi usubiri game inayofuata au uboost self esteem kivingine mfano kucheki movie masumbwi siasa n.k endapo liverpol ataendelea kukandwa utajikuta unaachana na EPL
uko sahihi tena sio EPL tu ni mpira wowoteee naachana nao.
 
Self esteem hujaa na kupungua kwa mtindo wa betri ya simu % (100, 99,98....0%). Ukitizama movie, mpira au siasa ikakufurahisha unakuwa umeboost self esteem% mfano kutoka 30% to 70%.
Self esteem ni nini kuna mwamba kauliza hapo juu.
 
Self esteem hujaa na kupungua kwa mtindo wa betri ya simu % (100, 99,98....0%). Ukitizama movie, mpira au siasa ikakufurahisha unakuwa umeboost self esteem% mfano kutoka 30% to 70%.
Kingine.
U can trick mind yako ikajijaza self esteem kwa njia ya kuandika, na ku tick task zako za kila siku. Task yeyote iliyo Kamilika ina boost self esteem na self confidence, yafutayo pia huongeza.

*kufanya jambo gumu
* Kujitanguliza wew kwanza
*Kujifunza kusubiri kuhitajika na ndio ufanya jambo, Sio kujishobokesha na watu wasikupe attention. Sense ya uthamini wako.
  • Mazoezi, na utimamu wa mwili. Zile happy hormones zinazo tiririshwa zina boost na kuondoa stress hormones.
  • Ishi maisha ya ukweli, sio ya uongo uongo, huku nafsi yako ikatafsiri kuwa huu ni uongo uongo.
  • Kujijengea mindset ya wew unatosha, sio challenge kidogo una ruka kuomba msaada wa watu, workmates. Challenge yourself then timiza usiishie njiani anza na zile ndogo ndogo.
*Reach out wenye uhitaji wasio jiweza, ongeza thamani kwaooo utaona matokea yake, Ile sense ya ku add value kwa mtu.
*Expose ktk mazingira ya wew kuhudumiwa. Chana wallet nenda hata hotel kubwaaa, ile kuja kusikilizwa, kuhudumiw, kuvutiwa kiti, kufunguliwa mlango, Subconsciously ina add kitu kikuwa sanaa. Fanya hivo regularly.
*Kikombe chako, kitanda chako, glass yako, nguo zako unazo vaaa, Mazingira ya home, yapandishe hadhi au yaweke smart like mimi ni king au Queen na hapa ndio throne yangu.

*Set standards, mimi siruhusu mtu anifanyie hivi, mimi ni wa hivi, kuwa na Philosophy zako na kanuni zako za maisha kisha zifatee.
* Affirm kila siku wewe ni wa muhimu, thamani.
*Kuwa na imani kubwa , MUNGU ni upendo na anakupenda,hata ufanyeje. Personalize mahusiano yako Na MUNGU, like he is my GOD

Hizi ni chache.
 
Hiz utopolo na simba pia kuna mda ni hatari kwa afya pia
kilichomtokea ALI KAMWE baada ya yanga kuipiga nne belouzdad ni kwamba alipata euphoria kali self esteem ikapanda ikapitiliya >100% akazimia, kumbuka wapo walio wahi kufia kwenye vibanda umiza. self esteem ni kama betri ya simu ikipata moto >100% ikapitiliza inaanzakuwa ya moto simu ina colapse
 
kidogo kidogo hakuna shida, au unasemaje!
tumia njia za asili kuboost self esteem anza kushabikia simba au yanga in deep, siasa, sinema za holy wood+kikorea, angalia masumbwi mieleka, soma story za watu walio anza kuuza mandazi mpaka wakawa mabilionea. Bangi sio nzuri sababu ina madhara mengi itakuboost lakini itafika muda utaanza kuona mbuzi ni fisi, au utaanza kumuona mr bean anatumbuiza mkwakwani stadium wakati upo tandale kijiweni unajiona upo mkwakwani unacheka sana show kali kumbe washikaji zako wanaokuzunguka wanakushangaa unacheka kivipi wakati mpo tandale wala hakuna kinachofurahisha
 
egentle kuna mstari mwembamba kati ya self esteem na self confidence, ukiwa na high self esteem automatic unakuwa na high self confidence na ukiwa na low self esteem unakuwa na low self esteem. Mazoezi huwa yanampa mtu euphoria na euphoria inakupa self esteem boost mfano kule jkt kwenye mabio mnakimbia kwa kuimba pamoja unapata euphoria mpaka morali inapanda ndio utakuwa unakumbuka hizo moments lakini stressors zote hua zinashusha self esteem all in all umetoa ufafanuzi mzuri
 
tumia njia za asili kuboost self esteem anza kushabikia simba au yanga in deep, siasa, sinema za holy wood+kikorea, angalia masumbwi mieleka, soma story za watu walio anza kuuza mandazi mpaka wakawa mabilionea. Bangi sio nzuri sababu ina madhara mengi itakuboost lakini itafika muda utaanza kuona mbuzi ni fisi, au utaanza kumuona mr bean anatumbuiza mkwakwani stadium wakati upo tandale kijiweni unajiona upo mkwakwani unacheka sana show kali kumbe washikaji zako wanaokuzunguka wanakushangaa unacheka kivipi wakati mpo tandale wala hakuna kinachofurahisha
hao wanachanganya na cocaine, dry haiwezi kukufanya hivyo
 
kilichomtokea ALI KAMWE baada ya yanga kuipiga nne belouzdad ni kwamba alipata euphoria kali self esteem ikapanda ikapitiliya >100% akazimia, kumbuka wapo walio wahi kufia kwenye vibanda umiza. self esteem ni kama betri ya simu ikipata moto >100% ikapitiliza inaanzakuwa ya moto simu ina colapse
Sure😊
 
Mashabiki wasimba wanasemwa hawana furaha kwa sababu wapo nyuma ya yanga wakiongoza ligi kibao kinageuka kwa mashabiki wa yanga yaani ni ubishani kama story za kuku na yai hata wao hawajui mechanism behind
 
hao wanachanganya na cocaine, dry haiwezi kukufanya hivyo
cocaine na bangi zipo kundi moja yote ni madawa ya kulevya mfano msanii kama alikuwa ana hit vibaya mno kila anakopita anashangiliwa ghafla umaarufu ukashuka akawahapati tena attention self esteem inashuka anaona aboost na ngada inampandishia self esteem matokeo yake anapotea kwenye mziki sababu haoni haja tena ya kuimba au kuweka juhudi kwenye mziki wakati akipiga cocaine anapata self esteem boost kali zaidi anajiona dunia nzima wanamshobokea kumbe wapi! Mwisho wa siku anakuwa teja mnaanza kushangaa msanii flani mbona hasikiki ila yy huko anajiona yupo kwenye peak
 
Nakupongeza kwa kuleta andiko.Mimi nikilipwa mshahara nakuwa na hiyo self esteem ,mpaka naona uvivu kuongea na nawasahau sana watu,mpaka mtu atoe maelezo mareefu ndio namkumbuka.Ila zikiisha nawakumbuka na naongea vizuri tu.Fedha ina mchango upi kwenye self esteem,baba mtaalamu?
 
kama ulisoma vizuri kwa kutafakari jibu ungekua umeshalipata mkuu siwezi kueleza kila kitu sababu akili yangu huwa inafanya kazi haraka kuliko speed ya vidole kutype mwisho wa siku naruka mambo au uandishi unakua mbovu ila ntakupa ufafanuzi mkuu. Ni hivi kunakuwa na hari ya kupata yaani baada ya muda mrefu kukaa bila pesa ko ukipata inakupa euphoria kwa lugha nyepesi morali, raha, furaha na mzuka ko unajikuta umeboost self esteem unajikuta unajiamini sana ila zikiisha battery inaanza kuwa low na stress zinaanza na self esteem inashuka zaidi unaanza kupata na hasira ambazo hazieleweki kama ww ni mwalimu unaanza na kuchapa watoto ovyo kama vile watoto ni punda.
 
Self esteem ni nini kuna mwamba kauliza hapo juu.
mkuu hebu fanya kuigoogle alafu ikopi uipaste hapa maana ya self esteem maana nkiielezea mimi ntazalisha mijadala mingine wewe mwenyewe google tu utaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom