Ijue Mikoa yenye wapiga kura wengi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,560
217,861
Hii hapa

Mikoa yenye nguvu ya wapigakura waliojiandikisha Tanzania ni  Dar es salaam 5,00 ( 799 X 640 ).jpg
 
Ungeweka bayana hizo namba zilizoandikwa kwa maandishi meusi ,blue na nyekundu zinamaanisha nini ?
 
Kwahiyo una mwambiaje mtu aliekubalika kwa chenge kwenye kura 150k ,halafu Geita 1.2m ,kagera 1.5 m na Kigoma 1.3m wote walimkataa?
 
unaleta uongo humu kisa unatoka Geita !
Huyo ni fwafwa Fulani wala usihangaike naye. Ukiona watu wanaanzisha thread za kufikirisha halafu linajitokeza dubwashika na comment ile ile kila thread ujue kichwani hapana tofauti na chini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom