smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,408
- 2,844
Kura ipo moyoni kwa mtu hauwezi jua atampigia nani.Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na Magufuli anapendwa
Kila ukimuuliza kijana anasema atapigia Magufuli kura
Sent using Jamii Forums mobile app