Ijue Botswana japo kidogo tu

Niliwah ambiwa kupanga ni garama sana na pia nyumba za kulala wageni ni ghali kuliko maelezo,,inshort sehem ya kuweka ubavu eti ndio garama kuliko chochote...je kuna ukwel au mbwembwe za wabongo
 
Hivi.ukiwa na passport. Unaonyesha kila border si ndio!?kwa mfano.umefika mpakani tunduma ukaulizwa unakwenda wapi.utajibu nini?na je uhamiaji wanaweza wakakukataza hata kama una passport ya halali.endapo wakijua unapokwenda hauna ndugu wala nini
Hukatazwi. Kuna maswali wanauliza usipobabaika unapita
 
MUNGU AKIJAALIA NITAENDA KUSHUHUDIA HAYA USEMAYO
 
Duwilaghe imaana ya mbana pua!! What is the meaning of mbana pua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…