Ijue Botswana japo kidogo tu

Sasa kwa hili suala huoni kua nyie wenye 5m raia n wapumbavu na mliokosa akili na mna mali zaidi ya watswana.??? Hyo mwanza tu ina ziwa ila maji shida Kigoma ziwa lote la kwenu maji shida huoni kua bado mna akili za mbwa.???
.
Mimi sikatai kuwa tuliboronga hapo kati, hasa baada ya mwalimu kung'atuka, watu wakaanza ubepari uchwara. Lakini kumbuka vipaumbele vyetu Tanzania vilikuwa tofauti na Botswana. Sisi tuliamua kuondoa umaskini, ujinga na maradhi na kwa kiasi kikubwa tuliweza kuondoa ujinga na maradhi.

Madaktari wetu wamekuwa wakienda kutabibu huko hata kwenye madini wataalamu wetu walisaidia sana. Tanzania waathirika wa HIV ni 3% watswana ni 21% wewe huoni kuwa haya ni maendeleo? Itakusaidia nini kuwa na maji ya bomba kama jamii yote ina maradhi?
 

Hao madaktari unadhani walipenda kwenda huko au tz ndio kulikua na shida na upuuz kibao wakaona bora kusepa Tz na sio madr. Tu mpaka mainjinia wengi waliondoka sabab Tz mambo ya siasa yalizidi kwan kuna mtu anapenda kukimbia nyumbani.?? Au shida na siasa ndo zikafanya waondoke na hayo mambo ya HIV+ angalia sasa % zimekaaje .??? Watz kuondoka wajaanza leo hata miaka ya 70-80 wengi walikimbilia Zambia vijana kwenye migodi ya shaba. Mpaka JK akaongea na kaunda kuweka ugumu waswahili kwenda kule lakini bado Tz siasa imejaaa ndio mana ni wajinga weng hii leo wajinga wamerudi tena wako kibao kila kitu ni siasa ndio mana nchi haina dira.
 
hAHAHA, Kijana wangu, kumbe nawe ulikuwa kwenye hizi,mambo....!!! Umenikumbusha mbali sana, yaan jamaa alitoa exposure kwa Senior staff.
Enzi za kuchagua ndege sasa ivi hazipo, kwanza unakuta kama safari basi labda ni Mkurugenzi wa idara moja tuu, atawakilisha shirika huko anakoenda.
 
hii mada imejikita sana upande wa mambo ya kupata watoto!! vitu vya msingi kama Malazi na Chakula haujavigusia na hata nauli imekaaje kazi na mishahara ipoje, unahitaji kuwa na nini ili uishi ki uhalali kabisa!
 
Kuna viwanda vya nyumbani vya kutengeneza sabuni, hivi huajiri mtu mmoja tu! Yeye ni fundi, meneja, afisa masoko na pia ndiye afisa manunuzi.
Viwanda vikubwa bado havitoshelezi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
U Ubeti WA pili msitari WA mwisho umezungumizia kukopi wasukumi !!! Je na wao watsana ni mikono ya sweta!?? Naomba majibu
 
Najiuliza tu hivi ni kweli mademu wa botswana ni mazuri sana kama wanavyosifiwa humu kwenye hii thread bt kiuhalisia ni kwamba wabotswana ni wa kawaida sana hawawezi wakawazidi mademu wakali toka Angola balaa na majirani zetu watoto wa kinyarwanda. Ila cha kusikitisha ngoma imeitafuna sana Botswana na Namibia ukibahatika kuziona documentary tofauti tofauti za kutoka nchi hizi wao janga hili la ukimwi wamelizoea wanaona kawaida kwa kwenye kila familia ya watu hata saba utakuta watu mawili au watatu wana ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…