Ijue Appearance yako

Ijue Appearance yako

Mchumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
280
Reaction score
264
Kila siku kumekuwa na watu ambao kutwa hujiuliza appearance or personality zao zinafafanaje??
Ukimuuliza mtu swali hili kama ni wa karibu hawezi kukujibu ila ipo njia rahisi sana ya kujua hili.

We tupia pamba zako unazoaminia kama msafiri vile, halafu pitapita mitaa ya UBUNGO STENDI YA MKOA pale au kama uko miji mikubwa kama MBEYA, ARUSHA, MWANZA nenda stendi za mabasi ya masafa marefu, Wale wapiga debe watakapokuona tu kila mmoja atakuchangamkia akijua wewe ni msafiri na uwe makini kujua ni mikoa gani wanayoitaja kwako kuwa siti /tiketi za safari zipo.

Wale jamaa huwa hawakosie bwana, Mikoa watakayo kutajia watu wake wanafanana kabisa na appearance uliyo nayo, kama wakitaja tiketi zipo za Makambako, Iringa ujue unafanana na wanyaru, Wakikutajia Arusha na mikoa ya kijanja ujue umekaa kichalii/ Bussiness person.

Ukitajiwa za kule Mpanda ka Katavi kwa Muheshimiw PM, we chukua picha ya PM uiangalie mara kumi kumi jibu iwe siri yako

Mie natajiwaga za Musoma na Tarime tu always maana nimekaa kishari shari na uso wangu wa mbuzi japo jinsia yangu ndio hivyo tena.

Ni hayo tu wana MMU kwa leo.
 
msela sina noma,hutaki acha,japokuwa huwa natajiwa tiketi za kigoma kwa ajili ya mavazi yangu but,kama kwaida mara1
 
Attachments

  • 995103_671762102850905_1906389945_a.jpg
    995103_671762102850905_1906389945_a.jpg
    9.5 KB · Views: 290
Mi huwa nafananishwa na watu wa Afrika Magaribi kwa sababu ya weusi, na kipindi niko chuo wengi walifikiri mi mganda kwa kuwa nilikuwa na dred, nilipoingia kwa street wa2 wakawa wananishangaa machwele mengi nikazinyoa, ila nina mpango wa kuzirudisha.
 
Mimi huwa naitiwa mabasi ya Kagera na kanda ya ziwa ingawa ni tofauti na Place of Domicile yangu.
 
ahahaaa huwa napata shida sana kupata usafiri wa simiyu kumbeeee
 
Naitwaga mchungaji sijui kwanini
"Vox popoli vox dei"
 
dah sawa bana mimi huwa nalinganishwa na kule kwa muheshimiwa PM,poa kwa kunisema na kunichora humu
 
me huwa wananiitia za arusha
mmenikumbusha jana dogo wa arusha kavaa mbano zen anaimba nyimbo za mcba ktk bongo star seach
 
nie stabiriki ati hadi nizungumze, utasikia ngosha allys au mombasa raha ipo
 
Kila siku kumekuwa na watu ambao kutwa hujiuliza appearance or personality zao zinafafanaje??
Ukimuuliza mtu swali hili kama ni wa karibu hawezi kukujibu ila ipo njia rahisi sana ya kujua hili.

We tupia pamba zako unazoaminia kama msafiri vile, halafu pitapita mitaa ya UBUNGO STENDI YA MKOA pale au kama uko miji mikubwa kama MBEYA, ARUSHA, MWANZA nenda stendi za mabasi ya masafa marefu, Wale wapiga debe watakapokuona tu kila mmoja atakuchangamkia akijua wewe ni msafiri na uwe makini kujua ni mikoa gani wanayoitaja kwako kuwa siti /tiketi za safari zipo.

Wale jamaa huwa hawakosie bwana, Mikoa watakayo kutajia watu wake wanafanana kabisa na appearance uliyo nayo, kama wakitaja tiketi zipo za Makambako, Iringa ujue unafanana na wanyaru, Wakikutajia Arusha na mikoa ya kijanja ujue umekaa kichalii/ Bussiness person.

Ukitajiwa za kule Mpanda ka Katavi kwa Muheshimiw PM, we chukua picha ya PM uiangalie mara kumi kumi jibu iwe siri yako

Mie natajiwaga za Musoma na Tarime tu always maana nimekaa kishari shari na uso wangu wa mbuzi japo jinsia yangu ndio hivyo tena.

Ni hayo tu wana MMU kwa leo.

umenena aisee hawa jamaa huwa hawakosea hata kidogo. Mimi kila nikipita wananitajia magari ya kwetu.
 
Back
Top Bottom