binti ashura
Senior Member
- Jan 14, 2011
- 118
- 19
waendelee kugawa mahindi?? SASA WANADAI MAHINDI YAO WALIYOGAWA. Hkn cha bure
Sio mahindi tu, hata hizi pilau maharage wasubiri mpaka 2015:View attachment 40023Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo kule Igunga serikali ilikuwa inagawa mahindi mpaka ikahusishwa na rushwa, sasa uchaguzi umekwisha je wanaendelea kugawa mahindi? Mwenye taarifa tafadhali atujuze!.
Hivi nyie mnatumia akili gani kufikiri,kama wananchi walikuwa na shida ya chakula si lazima wapewe chakula
Labda sie ndio tukuulize wewe hilo swali na la ziada ni hili; je saSA HIVI hio shida imeisha au inaendelea? Kama imeisha ina maana walikua na njaa wakati wa kampeni tu?? halafu ndio utaona sisi na wewe mwenye akili ni nani
mvua zikianza kunyesha njaa ndo inakuwa imeisha??Mvua zimekwishaanza kujesha hivyo basi mgao wa mahindi nao unakuwa umepungua sana hasa yale maeneo ambayo ni kame
Mvua zimekwishaanza kujesha hivyo basi mgao wa mahindi nao unakuwa umepungua sana hasa yale maeneo ambayo ni kame