Igunga Poleni

Igunga Poleni

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2009
Posts
3,413
Reaction score
2,276
Parliament questions and answers
email.gif
E-mail this to a friend
print.gif
Printable versionEnter Constituent or MP Name
No items on list

Kumbe kweli jaamaaa yenu ni bubu bungeni
 
Sitaki kuzungumza mengi kuhusu igunga. Kwani mama yangu ana asili ya pale.

lakini angalau siku hizi pamepiga hatua japo umaarufu wa Igunga umepungua.


haya tusubiri 2010
 
Katika mkutano wa kumi na sita unaoendelea jamaa kahudhuria mara mbili tu.
 
Sio kwamba jamaa ni bubu labda wenzetu wa igunga mambo yao yapo tambarare... embu tuhabarisheni mliowahi fika huko
 
Nyumba za mabati ni za kuhesabika, chakula kikuuu ni mtama na uwele, usafili kutoka kijiji kimoja hadi kingine ni baiskeri,akionekana nurse ndo daktari.
Yaani maisha yamewanyokea vibaya mno.
 
SIO IGUNGA TU!mbona sehemu nyingi sana?hata mdaula.............
 
Hivi mbunge akibwata kule bungeni ndio tunamweshimu? Hata kama anachoongea ni pumba? Tuchambue na tupate watema pumba bungeni...
 
Hivi mbunge akibwata kule bungeni ndio tunamweshimu? Hata kama anachoongea ni pumba? Tuchambue na tupate watema pumba bungeni...

Bora mtema pumba kwani one day atakuja kubwata kitu cha maana kuliko kukaa kimya miaka yote minne, labda anasubiri mwaka wa mwisho ndio ahanze kuongea.
 
Hivi mbunge akibwata kule bungeni ndio tunamweshimu? Hata kama anachoongea ni pumba? Tuchambue na tupate watema pumba bungeni...
umenenaa...kwa mfumo wetu wa uongozi kubwataa kwa kusifiaa dakika 13 na 2 za mwisho kuelezeaa tatizoo wala sio UWAKILISHII..

Bora huyoo anayekaa kimya ila natumai anatekelezaa zaidi ya WABWATAJIII wa kusifiaaaaa/kupayukaaa.....na kuunga mkono hoja mia kwa mia
 
Jamani labda anachangia huko Bungeni kwa maandishi kama anavyofanya Mh Lowasa, zakia Meghji, Dr Msabaha na rafiki yangu karamagi na Chenge
 
Kuongea sio kutekeleza angalia mbunge wa maswa kuongea kute lakini jimbo lake kama kijiji.
Iginga kumechangamka sana maji yapo na juzi tu kaanzisha mradi mkubwa wa maji.
Huyu jamaa hata kama mnamwita bubu mambo katika jimbo lake safi.
 
Kwa wale ambao wangependa kujua hali ya Igunga! Igunga pako bomba, maji 24 hrs, bara bara zipo katika hali nzuri, juu ya nyumba ni kwamba Igunga kuna nyumba nzuri kuzidi wilaya yoyote ya mkoa wa Tabora, watu wanalima Pamba, mahindi na mpunga, kuna mabwa ya kuchimbwa ambayo yanatumika sana kwa kilimo cha umwagiliaji infact inazizidi wilaya nyingi za tanzania. kama mtoa pole ametumwa aje igunga au asubiri 2010 atapata matokeo! katika majimbo ya uchaguzi ambayo mbunge aliyepo madarakani hana presha kwa mkoa mzima wa Tabora ni Igunga na Kaliua tu kwingine kote presha inapanda presha inashuka
 
umenenaa...kwa mfumo wetu wa uongozi kubwataa kwa kusifiaa dakika 13 na 2 za mwisho kuelezeaa tatizoo wala sio UWAKILISHII..

Bora huyoo anayekaa kimya ila natumai anatekelezaa zaidi ya WABWATAJIII wa kusifiaaaaa/kupayukaaa.....na kuunga mkono hoja mia kwa mia


Hivi huyu katika kampeni zake si alidai ataliwakilisha jimbo lake Bungeni? Sasa kama ngwaambia wapiga kura wake kwamba atawawakilisha kwa kuwa Bungeni katika awamu yake yote ya miaka mitano wangempa kura kweli!? Hebu tuachane unazi wakati mwingine na kuongea mambo ya kweli kuhusu hatima ya nchi yetu.

Wabunge wote wanaokuwa bubu bungeni kamwe hawastahili kuwa wawakilishi wetu wa huko Bungeni, maana kunyamaza kwao ndiyo kunaruhusu mikataba isiyo na maslahi kusainiwa, nchi yetu kugubikwa na ufisadi uliokithiri na hata baadhi ya Wabunge akiwemo papa fisadi Rostam, Mramba, Lowassa, Msabaha, Karamagi na wengineo kujihusisha na ufisadi. Tumechoshwa na Bunge haramu ambalo halitetei kabisa maslahi ya nchi yetu.

Natumai Watanzania hawatafanya makosa ya kuwarudisha tena Bungeni Wabunge wengi ambao hawastahili katika uchaguzi wa 2010.
 
Tukumbuke pia kunachangia hoja bungeni si lazima uongee na uonekane kwa media vilevile weheshimiwa waliowengi wanachangia kupitia mahandishi, na inakubalika kutokana na kanuni na taratibu za bunge letu.

Hivyo ni vyema kupata uhakika kwanza je hata kwa mahandishi hajachangia? kama jibu ni ndiyo basi hawezi kukwepa lawama.

Ila wananchi wa Jimbo la Igunga ndiyo wanajua nini kimefanywa na mheshiwa mbunge wao kwa kipindi chote walichompa dhamana ya kuwatetea na kuwaletea maendeleo.

Hukumu watatoa wao mwakani wakati wa uchaguzi mkuu wa rais,wabunge na madiwani.

Kazi ya mtu muongo ni ndogo, ni kulist ahadi zote alizotoa kipindi anaomba kura, na kuwaanza kuangalia utekelezaji wake.

ni kumuuliza tu ulisema utafanya hivi hujafanya mpaka leo, je unatuambia nini sasa?then mnasikiliza na kuweigh majibu yako at the end of the day,kwenye voting mnatoa hukumu.

Lakini pia tukumbuke dhana ya self reliance alituachia baba wa Taifa kwamba,"the citizen/people are the engineer's of their own development through self reliance".
 
Jamani labda anachangia huko Bungeni kwa maandishi kama anavyofanya Mh Lowasa, zakia Meghji, Dr Msabaha na rafiki yangu karamagi na Chenge
Haya mkuu, kama ni hivyo ngoja tuwashauri wabunge wooote watoe michango yao kwa maandishi kwisha. Nadhani Bunge litachukua muda mfupi kumalizika na kuokoa fedha nyingi za walipa kodi. Kisha wananchi tunafanya maandamano kumpongeza Rostam kwa kubuni style ya kuwa kimya Bungeni na kuokoa muda wa vikao vya Bunge na fedha.
 
Kwani hamjasikia kwamba alitawazwa kuwa THIEF(Chief)? Unategemea chief aende kukaa Dodoma wakati yeye ni mtu wa kuchonga line?
Anayeona anoenewa akajiunge na hao walimsimika Uchifu(matusi makubwa kwa wenye mila yao) waandae maandano ya baiskeli, pikipiki na punda kupongeza kama Mzee wa Vijisenti Na Mzee wa Ricmonduli walivyofanya! Pesa za ubwabwa na pombe atatoa yeye. Zile za ufisadi bado zipo za kumwaga kwahiyo msihofu gharama na isitoshe mtakuwa mnakula kijisehemu tu cha jasho lenu WALALAHOI!
 
Back
Top Bottom