Igunga: Mfuasi wa CUF kavamiwa na wafuasi wa CCM kapewa kipigo yupo hoi Hospitali

Nasikia shigela alikuwa na bastola, na akamwambia yule bwana wa cuf kuwa atamvunja miguu....kumbe kamvunja kweli?
Hawa jamaa wamezidi kwa vurugu
 
Sipendi uanzishaji wa thread kizembe hivi afu unaitwa "great thinker"
na moderators eti "wanachuja" thread na hii imepita kuwa thread huru kabisa.
my foot

Thats why kuna great thinkers hapa wasiohitaji kupikiwa kila kitu, be one bro
 
Kweli kabisa dawa ya ugomvi wa wanandoa waachiwe wanandoa.! Kazi kwenu ccm na cuf ( nimekumbuka kibwagizo cha juma nature "MUUNGANO CCM NA CUF...)
 
Nasikia shigela alikuwa na bastola, na akamwambia yule bwana wa cuf kuwa atamvunja miguu....kumbe kamvunja kweli?
Hawa jamaa wamezidi kwa vurugu

ambacho hajui shigela ni kuwa uchaguzi ukiisha wao wataondoka, wanakiherehere wa magamba watashughulikiwa individualy, watajuta kupewa vikofia, watajuta kutupa nazi kwa hadaa ya embe!! mimi naenda zambiaaaaaaa!! ambako watu hawaogopi kushindwa.
 
Nasikia shigela alikuwa na bastola, na akamwambia yule bwana wa cuf kuwa atamvunja miguu....kumbe kamvunja kweli?
Hawa jamaa wamezidi kwa vurugu
usishangae mashtaka yakabailika na kuwa:
1. alivamia mkutano wa ccm, na kusababisha vurugu 2. alitumwa na chadema na ni mmoja wa makomandoo toka libya.
 

CCM watakuja hapa na kusema makomandoo wa CHADEMA toka nchi za kiislamu hapo hapo wanasema CHADEMA chama cha kikristo ukiwa muongo usiwe msaharifu jamani
 
Hapo hakuna neno. Ccm A kumtwanga ccm B ni sawa na mwanamme kutembeza mkong'oto kwa mke wake! Tusiyaingilie sana, hayo ni mambo ya unyumba! Yataisha tu!
 
BAKWATA hawajatoa tamko tu....

nashangaa, wakati kobazi na barakashea vimedhalilishwa, mi siwaelewi bakwata, mtu avuliwa barakashea, inakanyagwa kanyagwa kwa viatu, aaa! bakwata vipiiiii, mpaka sasa haijulikani kobazi zilipo, basuta isomeeni ccm ile duwa ile inaitwa, inaitwa, inaitwa, inaitwaje vile!!
 

Ha ha ha Jogi hujatulia wewe.
 
Yani siku Malaria sugu akiingia Internet Cafe, yani humu JF ni vurugu tupu!
 

dah ngoja nicheke tu!
 
Ni fundisho kwa mtatiro ambaye amekuwa akiungana na ccm dhidi ya cdm.
Ccm ni zimwi, na si muda mrefu utawasikia wakipiga kampen kwenye vitongoji vyenye wakristo wengi eti cuf ni cha waislam.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…