Elections 2010 Igunga: Kikwete amnadi Rostam (picha)

ndio maana CCM wanatakiwa waondoke madarakani hakuna mtu wa maana hata mmoja!! ilkuwaje wakarudisha majina ya majambazi kama Lowasa na R azizi , so to say they are almost all useless thugs ,
Mungu ibariki Tanzania utondolee hawa majizi
Chukua hatua Chagua Dr. Slaa chagua CHADEMA
 
Ni fisadi mmoja tu ndiyo hakuenda kumnadi na kusema ni mtu safi: Mzee wa Vijisenti! Unajua sababu yake?
Tuhuma zake na ushahidi zimetoka majuu kwa hivyp muu anaogopa backlash kutoka kwao.
 
Jamaa kasema in 1995 Igunga ilikuwa na Zahanati 9 ila mwaka huu wa 2010 ziko 74.Naomba critics mtoe pumba za negative side kama vile zahanati zimeezekwa kwa maboksi,madokta ni voda fasta na barabara za kwenda hizo zahanati inabidi ziwe flyovers.
 
hivi kuna mtu kaona mkono wa kushoto wa riziwani kwenye hii picha?

2.jpg

Mtoto wa nyoka ni nyoka tu ..... hasa kwenye issue ya mikasi
 
Jamaa kasema in 1995 Igunga ilikuwa na Zahanati 9 ila mwaka huu wa 2010 ziko 74.Naomba critics mtoe pumba za negative side kama vile zahanati zimeezekwa kwa maboksi,madokta ni voda fasta na barabara za kwenda hizo zahanati inabidi ziwe flyovers.
Akili yako topetope
 
Ni mwizi tu. Hata afanye nini, mwizi anabakia mwizi tu na bahati yake anakingwa na mwizi mwenzie!!!
 
Dawa ya hawa ni kuwamwaga afu kuwaburuza mahakamani...
Mkwapuaji wa mali ya umma anasema kasingiziwa...
Mbona hakwenda mahakani ili asafishwe..
Mshaurini hata kama anawadharau wa-TZ atumie maneno yenye staha...
Naona umekuwa msahaulifu sana kipindi hiki.
Hujui kwamba JK ana taaluma ya sheria? hukuona jinsi alivyohukumu ile ishu ya EPA?
Hukuona alivyowahukumu wauza unga na majambazi?
Hivyo anavyowanadi mapapa na manyangumi wa kifisadi anakuwa ameshatoa hukumu yake.

Very shame kwa kweli
 
Dawa ya hawa ni kuwamwaga afu kuwaburuza mahakamani...
Mkwapuaji wa mali ya umma anasema kasingiziwa...
Mbona hakwenda mahakani ili asafishwe..
Mshaurini hata kama anawadharau wa-TZ atumie maneno yenye staha...

Let the voters voice their opinion in the ballot on 10/31/2010:A S 13:
 
Back
Top Bottom