- Thread starter
- #21
Sasa ndo Waziri Mkuu wenuamini amini mawaambieni, mwigulu nchemba anahusudu kutoa rushwa kuliko mjuavyo, akishagundua kupata mafanikio ya kuwahonga madiwani, anazo fikra na mikakati atoe rushwa kwa MUNGU ili ccm ibaki madarakani angalau kitambo kidogo. muogopeni mwigulu baada ya dhambi.