Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,484
- 30,156
IGP Simon Sirro yupo Live TBC lakini ninachoshangaa mtangazaji Mbozi Katala, haulizi maswali muhimu ya wakati huu, je uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu na lile la kutekwa kwa mfanyibiashara maarufu nchini, Mo, yamefikia wapi??
Kama kawaida TBC ni sawasawa na chombo cha CCM kwa hiyo wanatekeleza majukumu yao kwa maekekezo toka juu!
Kama kawaida TBC ni sawasawa na chombo cha CCM kwa hiyo wanatekeleza majukumu yao kwa maekekezo toka juu!