IGP Sirro yuko LIVE TBC lakini waandishi hawamuulizi maswali magumu

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,477
30,130
IGP Simon Sirro yupo Live TBC lakini ninachoshangaa mtangazaji Mbozi Katala, haulizi maswali muhimu ya wakati huu, je uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu na lile la kutekwa kwa mfanyibiashara maarufu nchini, Mo, yamefikia wapi??

Kama kawaida TBC ni sawasawa na chombo cha CCM kwa hiyo wanatekeleza majukumu yao kwa maekekezo toka juu!
 
IGP Sirro yupo Live TBC lakini ninachoshangaa mtangazaji Mbozi Katala, haulizi maswali muhimu ya wakati huu, je uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu na lile la kutekwa kwa mfanyibiashara maarufu nchini, Mo, yamefikia wapi

Kama kawaida TBC ni sawasawa na chombo cha CCM kwa hiyo wanatekeleza majukumu yao kwa maekekezo toka juu!
Kumbe huwa unaangalia TBC1?? Si huwa huipendi? Imekuwaje tena?
 
Swali la mtangazaji:IGP Sirro inajulikana nje ya majukumu ya kikazi mh. Rais anapenda kupiga ngoma,waziri wako Kangi anapenda mziki,je wewe ukiwa nje kazi yako hua unapenda kufanya nini?

IGP Sirro:Ujanani nilikua na michezo mingi lkn kwa sasa napenda kusikiliza nyimbo za dini mfano za Shusho.

Mtangazaji:Hebu mh. Sirro tunaomba utuimbie kidogo nyimbo mojawapo uipendayo.

IGP Sirro:Kwa kweli kuimba nikiwa nimevaa gwanda itashangaza kidogo na ni kinyume cha maadili ya Jeshi letu.

Hayo ndio maswali ya waandishi wa TBC mojawapo ni hilo wakimuomba IGP aimbe,hahah
 
IGP anaulizwa maswali ya kipuuzi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtangazaji: tukio la kutekwa Roma linaendeleaje.?
Sirro: hali ya usalama nchini ni salama na tunawahakikishia watanzania wafanye mambo yao kwa amani.
 
IGP Simon Sirro yupo Live TBC lakini ninachoshangaa mtangazaji Mbozi Katala, haulizi maswali muhimu ya wakati huu, je uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu na lile la kutekwa kwa mfanyibiashara maarufu nchini, Mo, yamefikia wapi??

Kama kawaida TBC ni sawasawa na chombo cha CCM kwa hiyo wanatekeleza majukumu yao kwa maekekezo toka juu!
Unataka apoteze kibarua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio hio channel ambayo watangazaji wake hua wanapindisha shingo upande mmoja ili watangaze vizuri??
 
Mtangazaji;kuna malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wanasema unapofika vituo vya polisi wanakuwa wakali,au kwasababu ya nature yao inataka kuwa hvyo

igp;hapana kwani ww unanionaje?
mtangazaji;ww hutabiriki
Igp;askari anapaswa kuwa mkali akiwa kituoni sbb hujui huyo aliyekuja yukoje na ana lengo gani.anaweza kuwa adui nahapo kituoni kuna silaha.
 
Uulize Maswali Magumu Upoteze Kazi? Eti Ya Lissu Na Kina Ben Na Gwanda ! Chaneli Ndiyo Hiyohiyo Isiyokuwa Ujasiri Wa Kufanya Hard Talk Na Kiti moto
 
Tunatekeleza..

Hapa Kazi tu.
tapatalk_1545767242608.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom