IGP Sirro yuko LIVE TBC lakini waandishi hawamuulizi maswali magumu

Chaneli Ilikuwa ITV enzi hizo kuna kipindi kiliitwa kitimoto kinafanana kidogo na hiki cha DAKIKA 45, ila kile kilikuwa cha moto hasa kwa maswali magumu. TBC hawawezi kuwa na maswali magumu kuwauliza watumishi wenzao, labda wakawaulize wengine maswali yenye majibu yasiyowagusa 'wao'.
 
Back
Top Bottom