IGP Sirro, umemsoma mwanadada yule wa ughaibuni?

IGP Sirro, umemsoma mwanadada yule wa ughaibuni?

Baada ya kauli yako ya leo na yeye kuonekana kuisoma kupitia hapa JF,amedai usubiri kifuatacho ITV kama alivyoahidi kulipua bomu.

Sisi wengine kwa sasa ni watazamaji tu.
tuletee Angalau ka clip ili tujionee alichosema
 
567c2affbc7f0746485e8adc32f1b6d8.jpg
 
Kuna mambo baadhi ya viongozi wanayakuza sana, jambo dogo unaliwekea kikwazo, mfano nimekutukana na wewe kwa hasira ukabeba panga, matokeo yake ni nini baada ya kunikata kata?

Nilipenda Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aliwawaambia askari wawasindikize waandamanaji badala ya kuwapiga virungu, ile ilijenga picha kubwa sana kifikra na kimtazamo.

Ilikuwa na maana kubwa kama hivi:
Waandamanaji waliposindikizwa walifika wakamaliza ombwe lao kisha nini kilifanyika?
SIJUI.
but wangepigwa mabomu, hizo hasira ambazo mpaka kizazi kijacho wangelisishwa hasira hiyo.

So tafakari wakati unawaza.
Ujumbe mzuri kwa watawala huo.
 
Mimi nimelidharau sana hili aijipii. Siyo mwerevu iq yake ndogo. Kuna siku alikuwa anahojiwa kwenye vyombo vya habara akawa anaturingishia mademu wanavyompenda Hadi wanamsumbua usiku wa manane kwa simu Na mesej eti wewe hendsam nimeipenda ile kofia yako.

Yani hovyo kabisa nalidharau kupita maelezo.
Kuanzia lini aiqu zikapatikana huko
 
Kuna watanzania ni wahovyo sana yaani li mtu liko huko nje halina faida yeyote na maendeleo na nchi yetu kazi yake kubwa kutukana viongozi wa nchi halafu mnamshangilia kweli?!!!
 
Huwa napenda sana yule dada wa USA avowanyoosha mpaka wanaropoka hovyo
 
Back
Top Bottom