ignatus peter
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 365
- 519
Ukiwapo na wewe pia Kiongozi.....Tunaomba wakina mange waongezeke na kuwa wengi
Ukiwapo na wewe pia Kiongozi.....Tunaomba wakina mange waongezeke na kuwa wengi
Yeye hana lolote...hana lolote huyo dada zaidi ya kupewa kichwa na watu tu kupelekewa umbeya tu.
Tusubiri hilo alisema kuhusu jeshi la polisi.
Hahhaaaa tutasema tu hivyo hivyo aijipiiiIJIPI==AIJIPII..hehehehe marufuku kulitaja jina langu mitandaoni
Hana lolote huyo dada zaidi ya kujifanya anawajua sana viongozi zaidi sana ni mtukanaji tuna maneno ya umbeya umbeya tu ili kujenga umaarufu wake na udhaifu wa watanzania ni udaku na umbeyaYeye hana lolote...
Wewe mwenye nayo yalete
Kama hana lolote unasubiri nini tena kuhusu jeshi?
Kumbuka alikuwa anahojiwa na TV gani.... Na ile TV hayo ndiyo mambo wanayoyapenda na ndiyo Issue zao kila siku... EATV na ile ilikuwa chombeza tu.Mimi nimelidharau sana hili aijipii. Siyo mwerevu iq yake ndogo. Kuna siku alikuwa anahojiwa kwenye vyombo vya habara akawa anaturingishia mademu wanavyompenda Hadi wanamsumbua usiku wa manane kwa simu Na mesej eti wewe hendsam nimeipenda ile kofia yako.
Yani hovyo kabisa nalidharau kupita maelezo.
Ile ulikuwa utani uliolenga kuwafurahisha waandishi wa habari, Uwe unatenganisha utani na ya kweliMimi nimelidharau sana hili aijipii. Siyo mwerevu iq yake ndogo. Kuna siku alikuwa anahojiwa kwenye vyombo vya habara akawa anaturingishia mademu wanavyompenda Hadi wanamsumbua usiku wa manane kwa simu Na mesej eti wewe hendsam nimeipenda ile kofia yako.
Yani hovyo kabisa nalidharau kupita maelezo.
Wewe tafuta bwana akushugulikie maana inaonekana una stress sana. Haipiti siku bila kumtaja huyo ngedere. Ni wazi hujitambui. Kengee wewe!Baada ya kauli yako ya leo na yeye kuonekana kuisoma kupitia hapa JF,amedai usubiri kifuatacho ITV kama alivyoahidi kulipua bomu.
Sisi wengine kwa sasa ni watazamaji tu.
Ni kweli mkuu.Ataandikwa kwa style nyingine
Dah mnajambajamba tu aibu aibu aibuuuuuuuIle ulikuwa utani uliolenga kuwafurahisha waandishi wa habari, Uwe unatenganisha utani na ya kweli
jamaa alichemka ukweli ndio huoKumbuka alikuwa anahojiwa na TV gani.... Na ile TV hayo ndiyo mambo wanayoyapenda na ndiyo Issue zao kila siku... EATV na ile ilikuwa chombeza tu.
malizia tu nakojoaaaaHuwaga ana kibwagizo chake "nako...."
Kuna mambo baadhi ya viongozi wanayakuza sana, jambo dogo unaliwekea kikwazo, mfano nimekutukana na wewe kwa hasira ukabeba panga, matokeo yake ni nini baada ya kunikata kata?kuna vyenye ukweli sawa lakini mengine si kweli zaidi kuwatukana tu viongozi matusi ambayo hata watoto wake sidhani angependa waje waone siku moja mama yao alivyokuwa anatukana
anza wewe, Mi nitafuata baadae kidogoTunaomba wakina mange waongezeke na kuwa wengi